Nimetoka kusuluhisha ugomvi mkubwa wa Mdogo wangu na mke wake

Nimetoka kusuluhisha ugomvi mkubwa wa Mdogo wangu na mke wake

Mzee kwa Hasira akamwambia Bwanamdogo kuwa amepoteza mwanamke mzuri kwa ajili ya uzembe wake, akamwambia kuwa yule alikuvumilia pasipokutafuta mapenzi nnje lakini hakubadilika, akamwambia kuwa akipata mwanamke mwingine kichaa kwa tabia zile atamletea mwanamme mwingine chumbani kwake pale pale atamsaidia kazi vizuri.
Wazee wana hekima sana
 
Mirungi ina handasi mbaya sana na unatakiwa uwe na pesa addiction ni mbaya sema huyo ashukuru anapata usingizi mi watu nawajua hawana time na mademu wala hawalali kazi kusaga tu

mtu analala saa tisa na 11 yuko macho kuanzia saa nne wako nje wanaita kijamvi vijana wa pwani watanielewa hapo kuna box za Big G na maji ya mabiri di watu wanasaga mpaka saa tisa mbaya sana mtu anakula mpaka ya 15k kwa kweli😳😳😳😳pesa hamna ukimka kuna majani kama kuna tumbiri walikuwa wanacheza juu ya mtu

hii imemtia umaskini jamaa yangu mpaka kauza vitu vyake vya ndani hawezi kuacha shavu limekuwa kama kiuno cha boxer😕😕😕😕 yaani kama mpira ni kubwa mno
Haaa haaa kiuno cha boxer [emoji3][emoji3]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
uliwahi kufika moshi mkuu yaani ukiwa na mtoto moshi na rombo kuna asilimia 80 za yeye kutumia veve mimi nimeweza kuacha sababu ya kutoka lile eneo
Sema veve ukiizoea ina addiction aseee ukifika ule mda wake unapata arosto mbaya mbovu.

Mkuu nyie ni Warangi? Maana hao watu wanapenda sana kuchanja veve/miraa/mirungi/gomba.
 
Anachanja gomba mbaya sana ni ww na BIG G guna hamu na wife wala nn ni nzuri ila madhara yake ndio hayo amesahau na hasira kali
na kusahau sahau na uvivu uliopitiliza mpaka kufikiria pia huwezi gomba sio jaman nimetumia toka 2016 ilipofika 2019 nikawa nimedhamiria kuacha mazingira hayaruhusu sio home kitaa yaani vijana wanatafuna na wew unajikuta umerudi mzigoni now nipo dom afadhali nimeweza kuacha maan mazingira niliyopo sikutani na watu wakichanja mara kwa mara
 
Mkuu angalieni asije geuka shoga baada ya kushindwa kumridhisha mkewe...atatafuta wa kumridhisha yeye!
 
na kusahau sahau na uvivu uliopitiliza mpaka kufikiria pia huwezi gomba sio jaman nimetumia toka 2016 ilipofika 2019 nikawa nimedhamiria kuacha mazingira hayaruhusu sio home kitaa yaani vijana wanatafuna na wew unajikuta umerudi mzigoni now nipo dom afadhali nimeweza kuacha maan mazingira niliyopo sikutani na watu wakichanja mara kwa mara
Mungu ashukuriwe.
 
Aisee pale Kolo - Kondoa hali ni mbaya sana. Nilipita hapo jana karibu kila mtu anakula gomba aka mirungi! Yaan si bodaboda kijana au mzee wote midomo inatafuna vitu!
Kutumia hayo majani si ni jinai kama bange?
 
Hapa tu kwenye nimekah Kuna vijana jama wawili wamekaha hap nyuma yangu wanatafuna mirungi kwa kwenda mbelee kila siku jioni wanatafuna cjui Kama Wana nguv za kiume kwel
 
uliwahi kufika moshi mkuu yaani ukiwa na mtoto moshi na rombo kuna asilimia 80 za yeye kutumia veve mimi nimeweza kuacha sababu ya kutoka lile eneo
Mkuu mimi ni mwenyeji wa kanda hiyo. Amini nakuambia warangi wanapenda mirungi sana.
 
Back
Top Bottom