Nimetoka kusuluhisha ugomvi mkubwa wa Mdogo wangu na mke wake

Nimetoka kusuluhisha ugomvi mkubwa wa Mdogo wangu na mke wake

Hii story hujai balance kabisa. Kila upande wa story ungepaswa kuwa response hapo tungejua jinsi ambavyo kweli wazee wazima mlivyoaibika.
Kwa maelezo ya myoa mada kwa nature ya story kiundani zaidi wazazi wa mwanamke walisha yapata malalamiko kitambo Sana na walisha hitimisha kuja kumchukua mtoto wao na hicho kikao kilikua geresha tu ...kwa hiyo hapa watu wa kiumeni hata wangeongea Nini wasinge sikilizwa.....hicho kikao kilikua ni Cha kumuaga binti sio kusuruhisha [emoji38][emoji38] na ndio maana mzee wa kiumeni amemind na kampiga mkwara mwanae asimuone kwake
 
Mzee kakasirika sijawahi kumuona vile tokea mdogo amekasirika sana anasema dogo ameuabisha ukoo na familia nzima katuaibisha , kaapa asikanyage kabisa yani

Hapana napoeleza mzee tumefika tu jana jioni na hali ikabadilika tulampeleka hospitali ya wilaya presha imepanda ila now anaendelea vizuri
 
Nimeishia hapo Mzee alipomwambia "Umepoteza Mwanamke mzuri kwa ujinga wako"....
This is not correct
 
Mirungi huaribu sana nguvu za uume, wakati mwingine ktk hii dunia si kila kitu ni cha faida na chakuigwa.

Ona sasa Mke mwema kabisa anakosa Mume sahihi na kuachwa njia panda.

Mungu ni mwema sana kuniepusha na ulevi wowote wa sigara, bangi, kokein, shisha, pombe, pornography na uzinzi wa Wanawake na hata hii mitandao ya kijamii.
Jipe Muda.
Don't be proud
 
Mzee kakasirika sijawahi kumuona vile tokea mdogo amekasirika sana anasema dogo ameuabisha ukoo na familia nzima katuaibisha , kaapa asikanyage kabisa yani

Hapana napoeleza mzee tumefika tu jana jioni na hali ikabadilika tulampeleka hospitali ya wilaya presha imepanda ila now anaendelea vizuri
Kwa wazee wa zamani mambo Kama hayo yanawaumiza Sana tofauti na sisi wa digital ... Yaani mzee wenu anaonekana alifeli kwenye kuwalea na akikumbuka jitihada alizo zifanya Hadi mmefika hapo na matokeo yake lazima aumie. Na usikute Mambo ya ulevi Alisha waasa halafu Leo anakuja kudharirika kisa huo huo ulevi na kaacha mambo yake kisa kuja kusovu ulevi hapo lazima Moto uwake mzee[emoji1][emoji1]
 
Naona umeegea upande wa Shemeji hujaeeza upande wa dogo yeye alisemaje?
 
Sema veve ukiizoea ina addiction aseee ukifika ule mda wake unapata arosto mbaya mbovu.

Mkuu nyie ni Warangi? Maana hao watu wanapenda sana kuchanja veve/miraa/mirungi/gomba.

Kuna rafiki yangu aliolewa na msomali tabia ni Kama za huyo dogo

Wametengana kwa shari sana mwaka jana[emoji2308]

Kumbe veve haifai aisee
 
Back
Top Bottom