Nimetoka kusuluhisha ugomvi mkubwa wa Mdogo wangu na mke wake

Wazee wana hekima sana
 
Haaa haaa kiuno cha boxer [emoji3][emoji3]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
uliwahi kufika moshi mkuu yaani ukiwa na mtoto moshi na rombo kuna asilimia 80 za yeye kutumia veve mimi nimeweza kuacha sababu ya kutoka lile eneo
Sema veve ukiizoea ina addiction aseee ukifika ule mda wake unapata arosto mbaya mbovu.

Mkuu nyie ni Warangi? Maana hao watu wanapenda sana kuchanja veve/miraa/mirungi/gomba.
 
Anachanja gomba mbaya sana ni ww na BIG G guna hamu na wife wala nn ni nzuri ila madhara yake ndio hayo amesahau na hasira kali
na kusahau sahau na uvivu uliopitiliza mpaka kufikiria pia huwezi gomba sio jaman nimetumia toka 2016 ilipofika 2019 nikawa nimedhamiria kuacha mazingira hayaruhusu sio home kitaa yaani vijana wanatafuna na wew unajikuta umerudi mzigoni now nipo dom afadhali nimeweza kuacha maan mazingira niliyopo sikutani na watu wakichanja mara kwa mara
 
Mkuu angalieni asije geuka shoga baada ya kushindwa kumridhisha mkewe...atatafuta wa kumridhisha yeye!
 
Mungu ashukuriwe.
 
Aisee pale Kolo - Kondoa hali ni mbaya sana. Nilipita hapo jana karibu kila mtu anakula gomba aka mirungi! Yaan si bodaboda kijana au mzee wote midomo inatafuna vitu!
Kutumia hayo majani si ni jinai kama bange?
 
Hapa tu kwenye nimekah Kuna vijana jama wawili wamekaha hap nyuma yangu wanatafuna mirungi kwa kwenda mbelee kila siku jioni wanatafuna cjui Kama Wana nguv za kiume kwel
 
uliwahi kufika moshi mkuu yaani ukiwa na mtoto moshi na rombo kuna asilimia 80 za yeye kutumia veve mimi nimeweza kuacha sababu ya kutoka lile eneo
Mkuu mimi ni mwenyeji wa kanda hiyo. Amini nakuambia warangi wanapenda mirungi sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…