Nimetoka kusuluhisha ugomvi mkubwa wa Mdogo wangu na mke wake

Umenikumbusha mbali Mkuu,

Rafiki yangu iliwahi kumtokea hii kitu mpaka Leo ni mlemavu wa mguu

Ilitokea Laela B, Sumbawanga uko mkoa wa Rukwa. Jamaa alikuwa na mahusiano na bint badae wakaja kuachana kumbe bint hakupendezwa na jinsi alivyoachwa. Zikapita wiki hatimaye miezi 3 tangu waachane siku hiyo rafiki yangu Hana hili Wala lile akapigiwa simu na bint kuwa anamuhitaji sehemu Ana shida ya dharula .

Jamaa tulikuwa nae tunaangalia Mpira akatuaga akaenda Kijiji Cha pili alipo demu kufika uko kamkuta bint njian anamuuliza alichomuitia ni kipi bint anajiuma Uma Mara ghafla bint anaanza kulia kama utani tu kaangua bonge la kilio akajiangusha chini jamaa haelewi anaanza kum,bembeleza kuhamaki watu washaanza kukaaa bint anadai kabakwa daah

Jamaa angu alipigwa Sana bahati kuitwa mjumbe ndo kuwahoji Hadi polisi bint kapimwa zahanati hamna kitu ikabidi kesi imalizwe kifamilia aisee.

Wanawake sio watu wa kuwaamini .
 
Mpe pole sana kwa hilo tukio....
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Sio pombe zote hulaza dudu! Actually baadhi ya pombe hasa spirits huchochea uimara wa dudu. Ukitaka dudu lege lege we fakamia beer 🍻
 
Poleni mkuu.. kupata kibinti kitulivu na kielewa karne hii ni kazi sana .. daah Anapoteza kweli DODO mdogo wako maana kupata CHOMBO iliyoamua kufanya maisha kazi kweli kweli.. wengi mda huu wapo mabarabarani wanafanya biashara ya miili yao wenyewe na wanamionekano mizuri tu.. msihi dogo ajirekebishe akamchukue mkewe asirete mzaha..
 
Kumbe wanawake wavumilivu wasio na michepuko , bado wapo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Gomba aka miraa

Warangi

Wadigo

Wapare

Makabila haya yamekuwa wahanga wakubwa wa miraa


Na jamaa ya Waarabu koko kwa sana tu.

Sema wengine wanatumia katika umri mkubwa kiasi kwamba mke asipolalwa wala hajali maana umri unauwa umeenda watoto wako Sekondari n.k
 
Hamkwenda kusuluhisha.

Mlienda kushuhudia ndoa ikivunjika


Huwezi kulazimisha usuluhishi iwapo upande ulokosewa hauko tayari kwa suluhu.

Upande ulokosewa umekuja na maamuzi ya kutaka kuachana tu sababu migogoro ya muda mrefu ambapo mume amekuwa akionywa na kutokubadilika kitabia sasa hapo suluhu ya nini si itakuwa kujidanganya?!
 
Halafu nguvu zinapungua tu hata bila mirungi wala kilevi mbona mi situmii kilevi chochote na sina nguvu za kiume


Wengine hurogwa na michepuko kwamba akiwa kwa mchepuko nguvu kama zote akiwa kwa mke wa ndoa olaaa nguvu hakuna.

Kuna michepuko Mungu atawafanyia kisasi kibaya.!
 
Reactions: THT
Nina mtu namfahamu naye Habari inafanana na hiyo.

Mwanaume ndani hajiwezi badae inajulikana kuwa anamchepuko na inasemekana Kazaa nao mtoto wa miaka 2 - 3 hivi.

Sasa mke kusikia akamuuliza akasema ndio,

Mke akawa disappointed kwamba ndani mume nguvu hana lakini kumbe nje anamchepuko hadi kuzaa?

Sasa haijulikani mtoto ni kweli wake au mchepuko kamchomekea na mchepuko huyo mtoto amewapa wababa 3 tofauti.

Mke kaamua kuondoka sasa ni miezi sasa na hana mpango wa kurudi kaitwa na ndugu wa mume mke kawaambia kuwa hayuko tayari Kwa suluhu yoyote,
Kasema Mwanaume amwite mchepuko wake waishi pamoja!

Mchepuko ni jobless hana uwezo hata wa kuingiza 100 mjini anawekwa na Umalaya na kuvunja nyumba za watu.

Halafu mke anasema kwa miaka mingi amekuwa alistukia huo uhusiano na mchepuko na kumuonya mumewe lakini mume akawa anakana na yule mchepuko anakanusha kuwa hawana uhusiano wowote!

Halafu baada ya miaka inaonekana wamezaa mke ameona isiwe tabu ngoja awape uhuru waishi na mchepuko maana yeye amekuwa ni kikwazo kiasi cha mchepuko kuroga sana!
 
Sawa
 
Ndio hvyo
 
Dogo wa hovyo sana....hapigi miti vizuri halafu anajifanya mtu wa hasira...

Mwambie Dogo asipoacha miraa,,, basi aachane kabisa na maswala ya mapenzi....ajikite kula tu mirungi..
 
Dogo wa hovyo sana....hapigi miti vizuri halafu anajifanya mtu wa hasira...

Mwambie Dogo asipoacha miraa,,, basi aachane kabisa na maswala ya mapenzi....ajikite kula tu mirungi..
Kweli hii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…