Nimetoka kuwaangalia Wydad Casablanca FC wakicheza wakiwa Kwao nimejikuta Huzuni kunipata na Machozi kunitoka

Nimetoka kuwaangalia Wydad Casablanca FC wakicheza wakiwa Kwao nimejikuta Huzuni kunipata na Machozi kunitoka

Wydad akiwa nyumbani anachafukwa sana….
 

Attachments

  • 85307DE0-19AB-42B8-9503-C751DA2DE274.jpeg
    85307DE0-19AB-42B8-9503-C751DA2DE274.jpeg
    15.8 KB · Views: 1
  • 2A8673BE-03A4-435A-B6A1-AB35442AE10E.jpeg
    2A8673BE-03A4-435A-B6A1-AB35442AE10E.jpeg
    19 KB · Views: 1
Basi tambua hivyo wanavuta Tena yao inatoka Sudan maeneo ya GEZIRA ule ukanda wa mto nile ndio wazalishaji wakuu wa mpepe aka msubaa
Naanza Kukuamini Mkuu kwani ile Juzi kuna muda Camera za Azam Tv zilikuwa zikiwaonyesha na kuna baadhi yao hata Macho yao tu yalionyesha wamevuta sana Sigara Bwege / Mpepe ( alias ) Bangi.
 
Ni sawa na leo nimsikie Bondia Hassan Mwakinyo akitamba kuwa atamgharagaza vilivyo Bondia Antony Joshua au Bondia Tyson Fury.

Mtanisamehe tunaenda Kuzikoga / Kufungwa mno Jumamosi huko nchini Morocco kwa Wydad Casablanca FC.
Broo mpira unadunda dunda Mimi naamini dk90 Ila kufungwa tunafungwa sio kiviiiile😂😂 nadhani umenieelewa
 
Back
Top Bottom