IamMrLiverpool
JF-Expert Member
- Apr 27, 2014
- 4,362
- 6,274
Hahahaha!
Kwa hiyo elimu uliyonayo mpaka na kupelekwa hadi Rwanda kikazi....Hicho ndo ulichokichambua kwa elimu hiyo hiyo hadi kukifungulia uzi hapa ambao utachukua nafasi kwenye seva?
Ama umekuja tu kusababisha Civil Unrest?
Unajua watu wengine hata kuwajibu naona kama vile nitapitiliza...Kwanza nani alimuita?Mkuu, ulitaka jukwa la Chit chat, watu wajadili ishu za Escrow!!?? Kila jukwaa lina maudhui. Ukiwa serius kila saa utakufa mapema
Unajua watu wengine hata kuwajibu naona kama vile nitapitiliza...Kwanza nani alimuita?
Nimetoka Rwanda leo, kweli nimeamini Tanzania hamna wanawake
kwa hiyo alokuzaa wewe ni mwanaume??