Nimetoka Rwanda leo, kweli nimeamini Tanzania hamna wanawake

Status
Not open for further replies.
kama Mtanzania, umetokana na Mwanamke ambaye ni mama yako. Sasa sijui wewe ama mama yako anafananaje?

Na log off .
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna mtu mmoja nilisikia akisema Maduu wa kinyarwanda papuchi zao mimaji mingiiii afu wengi wanasumbuliwa bwawa.



Mahondaw wa Smart911
 
Mkuu, uliokotwa jalalani?
 
 
Mkuu ulikua sehemu gani maana nilikua huko pia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwanaume Mimi napita tu...... Hapo umejumlisha mama,alokuzaa +Dada zako. ......
Mbona povu jingi wewe dada ukizaliwa na sura ya limao wewe ni mbaya tuu acha wanawake wazuri wasifiwe acha wivu
Nani alikwambia binadamu tunafanana kama mapanya buku au ngiri etc kila
Binadamu na sura yake ndo maana una ambiwa ukitaka kuoa chagua angalau mwenye mvuto usije kuharibiwa watoto mwishoni uje kulaimu kama wewe huku huna namna jikubali na hali yako acha wivu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…