Nimetoka Rwanda leo, kweli nimeamini Tanzania hamna wanawake

Status
Not open for further replies.
Hahahaha!

Kwa hiyo elimu uliyonayo mpaka na kupelekwa hadi Rwanda kikazi....Hicho ndo ulichokichambua kwa elimu hiyo hiyo hadi kukifungulia uzi hapa ambao utachukua nafasi kwenye seva?

Ama umekuja tu kusababisha Civil Unrest?
Huku bongo michosho kina mariam ndala ndefu wanaringa wakati wamejipiga filters tupu......rwanda sio pakispot spot kabisa.....december twende maana kuna mama yako nimempata huko na mimi.
 
Preta usiende kabisaaaa ninakilio sijui kitaisha lini, hadi najionea huruma, hao wanabebana wenyewe kwa wenyewe at last!!!!

o o o ohh.....basi sitaweka kituo....nitawachezea niwaache mataa..........
 
Nimetoka rwanda leo nimerudi tanzania jamani rwanda kuna wanawake kuna wadada wazuri aiseenilienda kikazi ila nitafanya mpango niende kustarehe nile bata huko huku tanzania hamna wadad wowote lazima nikaoe rwanda asee wale wadada wana kila kitu shape sura tabia dah lazima nioe kule kkumbe huku hamna kitu
Kwa hiyo mama wako ni mwanaume au?
Acha ujinga.
 
Nimetoka rwanda leo nimerudi tanzania jamani rwanda kuna wanawake kuna wadada wazuri aiseenilienda kikazi ila nitafanya mpango niende kustarehe nile bata huko huku tanzania hamna wadad wowote lazima nikaoe rwanda asee wale wadada wana kila kitu shape sura tabia dah lazima nioe kule kkumbe huku hamna kitu
Unaposema ukale bata na watutsi una maana ukafanye umalaya?
 
rwanda.png
[emoji39] [emoji39]
 
mkuu kwani wewe kwa mwanamke unaangalia nini?? kama unaangalia mambo ya sura na maumbile mkuu utakuwa umechemka sana. au wewe utakuwa bado ni limbukeni kwenye haya mambo
 
Nimetoka rwanda leo nimerudi tanzania jamani rwanda kuna wanawake kuna wadada wazuri aiseenilienda kikazi ila nitafanya mpango niende kustarehe nile bata huko huku tanzania hamna wadad wowote lazima nikaoe rwanda asee wale wadada wana kila kitu shape sura tabia dah lazima nioe kule kkumbe huku hamna kitu
Kwahiyo hata mamako sio mwanamke?
Jamani hizi ngano chakavu bado Zippo mtaani?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom