Nimetoka Rwanda leo, kweli nimeamini Tanzania hamna wanawake

Nimetoka Rwanda leo, kweli nimeamini Tanzania hamna wanawake

Status
Not open for further replies.
Mbona hata bongo hakuna wanaume! Rombo wanatafuta Kenya!
 
Acha utani mkuu, hiyo picha siyo uhalisia wao. Hujaona miili ilivyokatika. Furthermore they know how to handle a Man. They are polite and Shy mkiwa nje and very crazy in bed. Sijui kwa nini tuliungana na wa Zanzibar. Waunguja majuba sana halafu ni rangi ya mtume tu ila siyo wazuri. Rwanda ni wazuri sana. Mungu fundi sana aiseeee.....
sawa mkuu nimekuelewa, ila tuwe na UZALENDO...kusifia vya nyumbani[emoji23]
 
Mbona wa kawaida sana. Hapa TZ wapo wa aina hiyo na wakali zaidi. Inategemea upo eneo gani la nchi.

Ukienda Ngara. Tabora. Singida. Dodoma. Manyara. Arumeru. Tanga. Pemba. Unguja na Dar. Wapo wenye mvuto huo.

Labda kama unawalinganisha hao wanyarwanda na wajaluo au wanyakyusa hapo utakuwa sahihi.
Kizuri kisifiwe jamn wadada zetu hapa bongo wamezidi mkorogo utakuta MTU ni mweupe ila anaweka upuuzi in short wanyarwanda wako poa rangi yao ya nuru warefu..nk
 
Nimetoka rwanda leo nimerudi tanzania jamani rwanda kuna wanawake kuna wadada wazuri aiseenilienda kikazi ila nitafanya mpango niende kustarehe nile bata huko huku tanzania hamna wadad wowote lazima nikaoe rwanda asee wale wadada wana kila kitu shape sura tabia dah lazima nioe kule kkumbe huku hamna kitu
Kama ungekuwa timamu kichwani usingemtukana mama yako kiasi hiki!
 
Wanawake wa nyanda za juu kusini wengi wao siyo wazuri wa sura,mtu ambaye amekaa huku ataniunga mkono,wazuri niwachache sana tofauti na Manyara,kule ni hatari sana,kuanzia nywele,rangi,maumbo n.k,tatizo lao wengi hawana lugha laini kwa wanaume,hawajui kubembeleza kwa maneno matamu,ila niwazuri sana,hilo tatizo litakua nikwasababu ya lugha,wengine kule wanashida yakutumia kiswahili vizuri,ila niwazuri sana.

Tabia zao hatari: hawanyimi mtu, hata kama ameolewa
 
Nimetoka rwanda leo nimerudi tanzania jamani rwanda kuna wanawake kuna wadada wazuri aiseenilienda kikazi ila nitafanya mpango niende kustarehe nile bata huko huku tanzania hamna wadad wowote lazima nikaoe rwanda asee wale wadada wana kila kitu shape sura tabia dah lazima nioe kule kkumbe huku hamna kitu
Kwenye tabia hapo umegonga mwamba, wengi wanapenda pesa hata kama unatabia nzuri vipi bila pesa hautampata, ni pm nikupe uzoefu
 
Mleta uzi, nadhani hajatembea TZ ukaimaliza, bongo kuna watoto ni wakali balaa, nadhani pia uzalendo huna kwa maana umeamua kuwadhalilisha hata dada zako au kwenu mnazaliwa midume 2pu.
 
Hahahaha!

Kwa hiyo elimu uliyonayo mpaka na kupelekwa hadi Rwanda kikazi....Hicho ndo ulichokichambua kwa elimu hiyo hiyo hadi kukifungulia uzi hapa ambao utachukua nafasi kwenye seva?

Ama umekuja tu kusababisha Civil Unrest?
Mtu anapoenda kikazi sehemu sio lazima awe na elimu kwa kiwango unachofikiri. Anaweza akawa na elimu ya darasa la saba na akapata kazi kama udereva, mlinzi binafsi(mf. Baunsa) wa tajiri, mbeba mkoba wa boss, tingo wa lori, n.k. watu wenye kazi hizo pia wanasafiri nje ya nchi kikazi hasa nchi hizi za jirani kama Rwanda aliyoitaja.
Huenda huyo bwana nae yupo kundi hilo na hii ndio safari yake ya kwanza nje ya tz ndio maana kaja kutuambia ili tujue na furaha yake izidi kukua!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom