Msigazi Mkulu
JF-Expert Member
- Dec 22, 2013
- 4,160
- 3,368
Alafu watu wa Rwanda huwa hawana sana akili za darasani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu huyu kitandani hanogi labda kwa kupapasa sawa
Kuhusu Tabia umepotea hawa wadada wa kitutsi wana dharau sana hasa ukiwa na sura ya moze iyobo ila ukiwa half cast hv utawapata sana tena wenyewe ndio wanakubembeleza utoke naoNimetoka rwanda leo nimerudi tanzania jamani rwanda kuna wanawake kuna wadada wazuri aiseenilienda kikazi ila nitafanya mpango niende kustarehe nile bata huko huku tanzania hamna wadad wowote lazima nikaoe rwanda asee wale wadada wana kila kitu shape sura tabia dah lazima nioe kule kkumbe huku hamna kitu
kwahiyo tanzania wote wanaumeNimetoka rwanda leo nimerudi tanzania jamani rwanda kuna wanawake kuna wadada wazuri aiseenilienda kikazi ila nitafanya mpango niende kustarehe nile bata huko huku tanzania hamna wadad wowote lazima nikaoe rwanda asee wale wadada wana kila kitu shape sura tabia dah lazima nioe kule kkumbe huku hamna kitu
Tatizo WAMBULU ni tafsiri iliyojitosheleza kua mwanamke tabia siyo sura,tabia zao zakutoa kwa wanaume ndiyo inayowachafua,hasa wakijua wewe mwanaume ni 'HOMO'(siyo mzawa wakule).Kondoa si sana, huko mbulu baba kuna watoto utadhani wahabesh
Toa uzoefu hapahapa mkuu ili tuwajue vizuri.Kwenye tabia hapo umegonga mwamba, wengi wanapenda pesa hata kama unatabia nzuri vipi bila pesa hautampata, ni pm nikupe uzoefu
Ethiopian
Acha zako Ethiopia na Rwanda wanawake ni wazuri sana hata kama ni wa kijijini ama anatoka familia duni ni wazuri naturally tofauti na hapa kwetu mdada mzuri mpaka ajiongeze kwa kujichubua, mchina nkUnadhalilisha mama na dada zetu basi ukisikia ushamba na ulimbukeni ndio huo. Ni kitu gani walicho nacho ambacho wanwake wa kitanzania hawana. Nilishakwenda Rwanda naomba ieleweke wanaoonekana kwenye picha ni wale models na mamiss vivyo hivyo ukienda Ethiopia. Waliowengi ni wa kawaida tu tusidanganywe na picha za kwenye magazeti