Ana maana ng'onda mkuu[emoji87] [emoji87] [emoji4]Hebu fafanua vizuri hapa yakhe
Me nikitaka kumuuliza amezaliwa mamaake ni mwanaume nikaona nitamtusi bure, nikaona wacha nikae kimyaa!!!Kwa hiyo hata ndugu zako wa kike watz sio wanawake?!! Wonders shall never end oo!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani nilitaka kusema hivyo lakini kwa heshima ya mama nikaandika hivyo.Me nikitaka kumuuliza amezaliwa mamaake ni mwanaume nikaona nitamtusi bure, nikaona wacha nikae kimyaa!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwahiyo mama yako aliekuzaa naye ni mwaname kama wewe! Jitambue basi.Nimetoka Rwanda leo, nimerudi Tanzania, jamani Rwanda kuna wanawake kuna wadada wazuri aisee, nilienda kikazi ila nitafanya mpango niende kustarehe. Nile bata huko, huku Tanzania hamna wadada wowote.
Lazima nikaoe Rwanda asee wale wadada wana kila kitu, shape, sura tabia dah lazima nioe kule, kumbe huku hamna kitu.
Kwahiyo mama yako aliekuzaa naye ni mwanaume kama wewe! Jitambue basi. Na uje na adabu siku nyingine.
Sent using Jamii Forums mobile app