Nimetoka Rwanda leo, kweli nimeamini Tanzania hamna wanawake

Nimetoka Rwanda leo, kweli nimeamini Tanzania hamna wanawake

Status
Not open for further replies.
Mademu wa Rwanda warembo sana lakini tabia yao mbaya. Ukitaka kuenjoy mahaba hapo sawa....na ile nanihiii wanaivuta kiasi kwamba unaenjoy sana wakati mwafaka, pili wanajua sex maana wote wanafundishwa namna ya kumhandle mwanaume lakini tabia yao mbaya.....wanachepuka hatari na wenzao wanyaru. Ukimuoa basi umeolea mnyaru atakayemkutana hapo mtaani kwenu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanashida moja hupenda wazae kwa kabila lao. Ukioa kuna msela atakuja hata kama ni bongo na atapiga mzigo na kukuletea watoto wa nje. Watchout usiwadharau wanawake wa bongo. Bongo is best

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acha dharau...

In this world,It doesn't matter who you are,But what you do to Survive.
 
Nimetoka Rwanda leo, nimerudi Tanzania, jamani Rwanda kuna wanawake kuna wadada wazuri aisee, nilienda kikazi ila nitafanya mpango niende kustarehe. Nile bata huko, huku Tanzania hamna wadada wowote.

Lazima nikaoe Rwanda asee wale wadada wana kila kitu, shape, sura tabia dah lazima nioe kule, kumbe huku hamna kitu.
Kwahiyo mama yako aliekuzaa naye ni mwaname kama wewe! Jitambue basi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom