kyanyangwe
JF-Expert Member
- Oct 31, 2018
- 1,275
- 3,316
Wakwake vp upo vilevile au naye Topaz imehusika?Iko hivi,nikiwa huko safarini niliona msitu wangu wa amazon umekua mkubwa nikaamua kuunyoa.nimerudi home wife kanuna anasema kuna mchepuko utakua umeninyoa.
Yeye mwenyewe inaonekana ni mzoefu wa kunyoa mavuzi anapotoka kwenda kuchepuka kwa hiyo anahisi na wewe ni michezo yakoIko hivi,nikiwa huko safarini niliona msitu wangu wa amazon umekua mkubwa nikaamua kuunyoa.nimerudi home wife kanuna anasema kuna mchepuko utakua umeninyo
Ndio shida ya kuoa au kuolewa na MTU mwenye ako na body counts kadhaaYeye mwenyewe inaonekana ni mzoefu wa kunyoa mavuzi anapotoka kwenda kuchepuka kwa hiyo anahisi na wewe ni michezo yako
Muulize ikiwa alishawahi nyolewa na mwanaume. Au mna kawaida ya kunyoana?Iko hivi,nikiwa huko safarini niliona msitu wangu wa amazon umekua mkubwa nikaamua kuunyoa.nimerudi home wife kanuna anasema kuna mchepuko utakua umeninyoa.
Huo ni uwanja wake, unaingiliaje kukata majani kwenye uwanja wa mkeo? Ana haki kukasirika muombe msamaha hàlafu ipige kisawasawa kumhakikishia hukuwa na mchepuko.Iko hivi,nikiwa huko safarini niliona msitu wangu wa amazon umekua mkubwa nikaamua kuunyoa.nimerudi home wife kanuna anasema kuna mchepuko utakua umeninyoa.
Mtu mzima na akili zako unafugaje mavuzi, bila shaka hata mkeo ni 'jitu mwitu msitu'🤮🤮.Iko hivi,nikiwa huko safarini niliona msitu wangu wa amazon umekua mkubwa nikaamua kuunyoa.nimerudi home wife kanuna anasema kuna mchepuko utakua umeninyoa.
Wengine wanagombana kupata madini Ukrene na KongoAcha mboga mboga waendelee kutawala maana vijana tunao wategemea kukomboa taifa ndo hao yani kijana kama huyo hanakuja na mada ya hivi kweli.
Itoke wapi kwa mambo ya kidwanzi namna hii?Daaa kwa style hii hatuwezi kupata katiba mpya