Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 38,283
- 97,793
Watu wana wivu hadi na mavizu 😂
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanawake wanaamini tutakufa na wao wataishi Daima! Eti unauza nyumba, ukifa tutaishi Wapi?!!Sijawahi kusikia mwanamke anaandika wosia kwa ajili ya mume wake na watoto au jukum la kifo ni letu sisi tu?
Shemeji kakukasirikia kwa sababu umenyoa msitu, kwanini usingeuchoma moto tu ili nyoka na wadudu wengine wakukimbie uanzishe msitu mpya? Umefanya kosa kubwa sana.Iko hivi,nikiwa huko safarini niliona msitu wangu wa amazon umekua mkubwa nikaamua kuunyoa.nimerudi home wife kanuna anasema kuna mchepuko utakua umeninyoa.
HajanyoaWakwake vp upo vilevile au naye Topaz imehusika?
IkuluUmenyoa ya wapi?
Inahusikaje hapa?Daaa kwa style hii hatuwezi kupata katiba mpya
Hili nalo mkalijibu. 😁😁😁🤣Yeye ya kwake hajanyoa?
Tuna safari ndefu ya kwenda, karne hii bado watu wana mentality ya nywele huku wengine wakizungumzia teknolojia za juu kabisaIko hivi, nikiwa huko safarini niliona msitu wangu wa amazon umekua mkubwa nikaamua kuunyoa.
Nimerudi home wife kanuna anasema kuna mchepuko utakua umeninyoa.
Wengine wanagombana kupata madini Ukrene na Kongo
Wengine wangombana kunyoana mavuz.
Hii dunia raha sana