Nimetoka TAMISEMI dodoma mda huu nimejibiwa hivi kuhusu awamu ya pili ajira za walim

Tulikutumaaa?mbona tuna ajira tayari?
 
bado uliyemkuta hakukupa taarifa sahihi....ameongea kukuondoa mezani kwake
 
Nimetoka TAMISEMI dodoma saa moja lililo pita na Nimekutana na mdada mmoja pale ofisini(ni muhusika) na akanambia kuwa ajira huwa wanatoa kwa batch na kwa sasa wanahangaikia kwanza upitishwaji wa budget ya wizara yao coz mbali na hilo kuna mambo mengi pia yamesimama hadi hapo budget itakapo pitishwa hivyo ameniasa tuwe wavumilivu huenda mwezi wa saba mwishoni au wa nane mwanzoni baada ya budget kupitishwa ndio wataeza kuajiri lakini kwa sasa tuvute subira na tusisikilize uongo wa watu wanao zusha. Ni hayo tu wahanga wenzangu.

Mkuu mbona wizara ya tamisemi ishapitishwa istoshe sisi baget aituhusu inawahusu wanaomaliza mwaka huu uyo alie kujibu ajielewi
 
Nimetoka TAMISEMI dodoma saa moja lililo pita na Nimekutana na mdada mmoja pale ofisini(ni muhusika) na akanambia kuwa ajira huwa wanatoa kwa batch na kwa sasa wanahangaikia kwanza upitishwaji wa budget ya wizara yao coz mbali na hilo kuna mambo mengi pia yamesimama hadi hapo budget itakapo pitishwa hivyo ameniasa tuwe wavumilivu huenda mwezi wa saba mwishoni au wa nane mwanzoni baada ya budget kupitishwa ndio wataeza kuajiri lakini kwa sasa tuvute subira na tusisikilize uongo wa watu wanao zusha. Ni hayo tu wahanga wenzangu.

Kuna Wengine Ni Wafanyakazi Wa Tamisemi Lakin Nao Hawaelewi Ni Lini Post Zitatoka Kwahiyo Hata Siamini Hiyo Kauli, Kwa Sasa Tusubiri Siku Watakayo Amua Wao Kufanya Hivyo.
 
Nimetoka TAMISEMI dodoma saa moja lililo pita na Nimekutana na mdada mmoja pale ofisini(ni muhusika) na akanambia kuwa ajira huwa wanatoa kwa batch na kwa sasa wanahangaikia kwanza upitishwaji wa budget ya wizara yao coz mbali na hilo kuna mambo mengi pia yamesimama hadi hapo budget itakapo pitishwa hivyo ameniasa tuwe wavumilivu huenda mwezi wa saba mwishoni au wa nane mwanzoni baada ya budget kupitishwa ndio wataeza kuajiri lakini kwa sasa tuvute subira na tusisikilize uongo wa watu wanao zusha. Ni hayo tu wahanga wenzangu.

Dah!hatari kweli.
 
bado uliyemkuta hakukupa taarifa sahihi....ameongea kukuondoa mezani kwake

Dah!! Tunakufa huku mtaani tusha subiri sana zaidi hapa ni kukusanyana kuibuka dodoma maana serikali iliahidi ajira kwa walimu na ndio mana wakakubali kusomea hata kama mazingira magumu sasa hiki wanacho tufamyia kwakweli hawatundei haki
 
Mkuu,hili wazo ni zuri sana mimi mwenyewe nilisha lizungumzia sikunyingi sana
 
Niwashauri Kitu Japo Mi Nimepata.
Embu Anzishen Uzi Then Mpeane Number Halafu Muende Dodoma Mumtafute Waziri Wa Idara Ya Elimu,tamisemi. Nawaambia Haipiti Wiki Mpo Mzigon
 
Style hiyo watapigwa mabomu ya machoz wjatafute njia nyingine hiyo inakasoro.
 
Niwashauri Kitu Japo Mi Nimepata.
Embu Anzishen Uzi Then Mpeane Number Halafu Muende Dodoma Mumtafute Waziri Wa Idara Ya Elimu,tamisemi. Nawaambia Haipiti Wiki Mpo Mzigon

Washatumiwa baadhi ya wabunge wakalisemea ilo bungeni naibu waziri akatowa tamko kuwa majina yako poa wanawait pesa toka hazina mawiki sasa yamepita atujaona jipya likiendelea.
 
Duuu!aisee poleni sana wandugu hali hii inatia hasira kwa kweli.
 
Back
Top Bottom