Nimetoka ukweni Kigoma, ila kama hii ndiyo aina ya wazee acha wabaki na watoto wao!

Nimetoka ukweni Kigoma, ila kama hii ndiyo aina ya wazee acha wabaki na watoto wao!

Tusitishane bhana, kama wanaona watoto wao ni mitaji acha tuwaachie tu! Siwezi kulipa 4M mimi, siwezi n'a hiyo pesa sina!

Lakini unaponiambia nisafirishe shangazi, mjomba sijui na watu gani, kutoka Dar mpaka Kigoma ili kuonyesha kuwa sina dharau nao ni uvivu wa kufikiria, hivi kweli unapima heshima yangu kwa kuwaleta shangazi zangu kutoa mahari ?
Na unapotoa mawazo yako jaribu kufikiria, kwamba Kigoma sio Buguruni wala sio Kimara mwisho!
Ulipoamua kuishi naye hukujua kuwa kuna gharama za kusafiri? Ndiyo maisha hayo na ni jukumu lako kuhakikisha unafuata taratibu za kijamii.
 
Nani kakwambia dunia imebadilika dunia iko vilevile na ardhi ndo ileile na majira ni yaleyale kuna asubuhi, mchana, jioni na usiku na hewa tunayoivuta ni ileile na mvua ndo zilezile yaani mm ungemtia mimba mwanangu umemzini, umemzalisha alafu unaleta story za dunia kubadilika nakukodia mabaunsa wakunyandue bila mafuta acheni kuharibu watoto fateni taratibu muoe.
Hizi akili za hovyo sana, utazeeka vibaya!
Watoto wako wakitiwa mimba na waliowatia mimba wasipoonekana utamkodia nani huyo baunsa?

Na kwanini usimkodie mabaunsa mtoto wako kwa kujibebesha mimba kabla ya ndoa?
Watoto wenu tunawakuta hata bikra hawana, ikimaanisha mushafeli kuwatunza, tunakuja kuweka mambo sawa ili tujenge familia mnajifanya miamba, upumbavu mtupu!
 
Ulipoamua kuishi naye hukujua kuwa kuna gharama za kusafiri? Ndiyo maisha hayo na ni jukumu lako kuhakikisha unafuata taratibu za kijamii.
Kwa hiyo kwa akili yako, alipopata mimba ningemkimbia ili nisiishi naye?

Halafu huyo mtoto wako mpaka anapata mimba anakuwa amebakwa? Si amefanya mapenzi kwa hiari yake, sasa cha kunikasirikia mimi kiasi cha kujaa hasira n'a midharua ni nini?
 
Mimi sikuhitaji kupokelewa kifalme mkuu, nilienda nikiwa najua kuna mahali tulikosea, lakini siwezi kukubali kulipa mahari ya kunikomoa, ukichanganya na maneno ya dharau na kunidhalilisha, kwa kufanya hivyo inawanufaisha nini?

Nilibeba zawadi za wazee nikijua ni kama ambavyo ningewabebea wazee wangu tu, wanaishia kuniambia "nilikutuma uniletee vizawadi vyako?" mbele za watu?

Halafu unataka kuniambia nione ni kawaida?

Huyu mzee siku akija kwangu, sitamfukuza, nitampa kila anachotaka ila nitahama nyumbani kwangu mpaka siku ameondoka ndo nitarudi!
Unachofanya wewe ni kutangaza vita wakati hayo mambo yanaisha kwa maongezi tu.
Hatapatikana mbabe kila mtu atavutia kwake na atakaeumia ni huyo mtoto wa kike asie na hatia kabisa.

Huyo binti unamtesa kwa makosa yasiyo yake, yeye kukusikiliza zaidi wewe usiitumie kama fimbo kumnyanyasa kwa makosa ya baba yake.

Mzee kasomesha, hujui alitegemea nini toka kwa bintiye, halafu umesema ni bush ndani ndani huko si ajabu elimu kwao ni bahati tu.
Halafu mwisho wa siku binti uliesomesha kwa tabu anakuja na mimba tu tofauti na ulivyotarajia.

Ukiielewa situation ya mzee mbona unamtuliza na anatulia, ila wewe unataka ulete ubabe na yeye hawezi kubali kuletewa ubabe.. Mwisho huyo binti kwao atatimuliwa na wewe utamtimua vilevile.
 
Situation ya mzee ingekuwa mbaya kama mtoto wake angekuwa alitelekezwa, lakini nimekuwa na yeye bega kwa bega, tangu ujauzito mpaka leo!

Tumechelewa kwenda kujitambulisha na kulipa mahari, (hilo nakubali ni kosa) lakini je, ni kosa linalofanya aamue kunikomoa n'a kunidhalilisha ?

Naamini baada ya watu kuoana undugu na mashirikiano huendelea, husaidiana katika huzuni na furaha, sasa ukinihuzunisha na kunisimanga kwa sababu una "hasira" kwa vitu ambavyo havina maana kabisa nitakuchukuliaje? Utegemee kuwa tutashirikiana kweli?

Lakini kilichonishangaza zaidi ni kwamba mama mtoto wangu ananiambia, dada yake alitoroshwa na jamaa wa huko huko kwao, na aliishi na mumewe kwa muda mrefuu mpaka akazlishwa watoto 2 then alipoenda "kujisalimisha" alipangiwa mahari ya sh.laki sita tu, na jamaa alilipa laki 4 na wanaishi huko Nyakanazi!

Dada yao mwingine, aliolewa na mtu wa karibu na Kijijini kwao, (huyo alikataa kwenda shule kwa ajili ya jamaa, yaani aliishia form 3) jamaa aliishia kulipishwa faini ya mbuzi 2 na mahari ya laki 6 pia!

Mama mtoto anajiuliza pia kwamba kwanini sisi anatuwekea uzibe na kuonyesha chuki ya wazi kiasi cha kutudhalilisha? Ananiambia hayupo tayari kuachana na mimi hata kama baba akimkataa (na hili naliona kabisa namna anavyokuwa upande wangu) lakini akili inaniambia, inawezekanaje kutengeneza undugu wa aina hii?

Nafika mahali naanza kuhisi pengine mzee ana chuki na watu wasio wa kabila lake tu?
 
Kabila lenu inaonekana mabinti hawazalishwi wakiwa nyumbani
Ndiyo, kwasababu binti kama hataki kusoma anaolewa, binti wa kabila letu kama shule hapendi chaguo lake ni kuolewa, ndiyo huwezi kuwakuta wanafanya kazi za hovyo.
 
Ndiyo, kwasababu binti kama hataki kusoma anaolewa, binti wa kabila letu kama shule hapendi chaguo lake ni kuolewa, ndiyo huwezi kuwakuta wanafanya kazi za hovyo.
Nyie ndo mnaozesha watoto
 
Kabila lenu inaonekana mabinti hawazalishwi wakiwa nyumbani
Ndiyo, kwasababu binti kama hataki kusoma anaolewa, binti wa kabila letu kama shule hapendi chaguo lake ni kuolewa, ndiyo huwezi kuwakuta wanafanya kazi za hovyo.
 
Ulichoshindwa kuelewa hapo Ni kwamba anakukomoa kwa kuishi na mwanae Kama mke Bila makubaliano na wazazi na inawezekana Mtoto wao aliwaambia una pesa yakutosha ndio maana mzee akakukazia hivyo akijua lazima utatoa kupitia taarifakutoka kwa binti yao......sema Kama unataka kuoa jaribu kutambulika mapema ukweni,wengine wanapenda heshma hiyo hata Kama hujatanguliza kitu wazee wengi wa KG kwetu Wana misimamo sana.

Jaribu kupunguza jazba utafute suluhu na mzee ili muyamalize ufunge ndoa na huyo dada yetu wa kiha.
Angalizo.
Kigoma Kuna ustaarabu wa kutosha Sana Kama ukienda kistaarabu,ukienda kihuni lazima upambane na uhuni.
 
Yaani nifunge safari kutoka Dar niende nikafanye uhuni Kigoma, inaingia akilini kweli?

N'a kama huo ndo mtazamo wao, hakika wananikosea sana, sio lazima nioe kigoma, nilienda kwa nia njema kabisa ila kama wametafsiri kuwa ni uhuni, basi nitawaacha wapate mstaarabu kwa tafsiri yao!
 
Ningekuwa mimi, ningemtafutia hiyo M4.
Hongera sanaaa, ila mimi huo uwezo sina, nitaoa wanaotambua thamani ya utu dhidi ya pesa, mahari ya kawaida walau 1M - 2M, isizidi hapo, maisha yaendelee, atapata wenye uwezo wa kulipa hiyo 4M ili afurahi!
 
Kuna baadhi ya Mila na desturi wazee ndio huongea hayo Mambo na kuwekana sawa, kwao ni kosa kijana kwenda kuzungumza na mzee. Wenye experience na hili watalielezea zaidi.
Ni kweli kabisa.
Kwa kuwa ilikuwa siku ya kwanza kwenda,ilitakiwa akae nje na kuwaacha ndugu,jamaa na mshenga wake (Mzee) waende wakaongee na wakwe zake.

Kama wangehitaji kumuona,ndo angeitwa na kuingia ndani.

Huyo mshenga sio mzoefu wa kazi hizi.
 
kigoma kuna mambo!
Ati hutakiwi kumsogelea,kupishana wala kumgusa mama mkwe!
 
Nilienda Kwa Wakwe Ilitokea Hivi, Nikasema Jaman Sio Ugomvi Mimi Naona Kwa masharti Haya Sitaweza Kwahiyo Bakin Na Mtoto Wenu! Week Mbili Baadae Dogo Akarud Mwenyewe Ghetto Anasema Jome Life Gumu Nikamwambia Haya Pumzika Ndoa Tushafunga Kweny Mioyo Yetu
 
Jaribu kutafuta wazee wa kwenu wakaongee nae kiutu uzima, alichokasirika yeye ni wewe kuchelewa kwenda na ulivyoenda hukupaswa kwenda wewe Kwanza(wangeenda wazee).
Hio ndo point yule mzee ana haki ya kukasirika alafu unavyooenda safari kama hizo tanguliza watu wazima kwanza

Na kuna watu wanafuata taratibu za kizaman baba mkwe yupo sahihi alafu kumuacha mwanamke sababu ya baba yake ni udhaifu mkubwa sana kama mwanaume
 
Hilo la kuua mtoto si kweli.Mambo huwa complicated unapozaa kabla ya kutimiza taratibu.Punguza hasira.Naturally wababa huwa overprotective kwa Binti zao. Jipe muda, baadaye utagundua huyo Mzee ni mtu poa kuliko unavyodhani. Utaratibu mzuri wa kuoa huku ni kwamba Binti stoke mbichi Nyumbani. Wee umefanya uchafuzi halafu unataka fair? Kila kabila na taratibu zake. Jipe muda utagundua. Mwenyezi Mungu awajalie Kila lililo la heri kwenye familia Yako changa.
Vijana wa kileo wanachukulia mambo kirahis sana kama mtoa uzi na inavyoonekana mtoa uzi hata taaratibu za kuandika barua ya posa hazijui yaan hiki kizazi ni bomu kubwa sana
 
Back
Top Bottom