Mtemi Mbojo
JF-Expert Member
- Apr 27, 2017
- 891
- 1,569
Kiongozi utakuwa MTATA sana wewe!Haya mambo huwa siyapend ila kuna mmoja kajiingiza kinguvu wakat mimi huwa sinaga ratiba ya haya mambo,watakubal tu yeye na familia yake,bahat nzur baba mkwe hayupo