Nimetokea kumchukia sana boss mpya, naomba ushauri ndugu zangu

Mawematatu

JF-Expert Member
Joined
Apr 8, 2021
Posts
468
Reaction score
608
Muda unakwenda kwa kasi.

Huyu kiumbe sitamanigi kumuona. Siku, Muda unavyokwenda najitahidi nimuondelee chuki moyoni inashindikana. Akiwa binadamu kama wengine najiona natenda kosa. Ushetaji unatusumbua, nahitaji kushinda moyo wangu moyo,cnafsi,churka, yangu inakataa.

Kuna jambo linanifanya ishindikane..na niweke waz hili, huyu boss anaroho ya kipumbavu sana. Anadharau watu ingawa ana watu wake anaopatana nao its like 20 asilimia tu.. na Zaid ya 80 anakinzana nao. Huyu kama boss lazima niwe naye mara kwa mara nafikiria kumkwepa kuhama kabisa ama hata kuacha kazi.

Nimalizie kwa kaushauri unapokuwa boss kuwa na:

1. Utu. Anza na wengine kabla hujashiba wewe.

2. Mungu wako. Mungu huweka serikali na binadamu, ukawa wewe jali huduma.acha uchawa ukifanya uchawa unakuwa unaabudu wanadamu wenzio. Utakuwa huwatendei haki hata sisi wahudumu.

3. Sikiliza, wiwa mwepesi kugundua kutoka Kwa chini yako. Potential walioyonayo itakusaidia. Baada ya hapo ongeza,rekebisha,sahihisha. Acha kutanguliza dharau,ujuaji,matusi, kebehi nk.

4. Sometimes kiongozi unaongoza viongozi bila kujua. Wangapi walikuwa chini na baada ye wewe unakuwa chini wewe? Waliowahi kuona hili la kupanda juu ilhali mfanyakaz alikuwa chini yako watalielewa jambo hili.

5. Simamia usitawale. Supervisor anasimamia, waachie uhuru wa kitaalamu wanchini yako. Lakini namba 1 kuhusu utu, na namba 3. Ni vitu vya msingi sana.

6. Tenga Muda wako kutathmin uwezo na matokeo ya kila mmoja katika nafasi yake. Hapa utagundua unaandaa viongozi. Wakati mwingine utajiona kumbe hujui. Wafanyakazi wengi kada za chini wanajua na huwaachia mabosi wajuaji wajue hawajui yakitokea ya kutokea.

7. Mwisho. Jenga Timu Moja. Yenye muelekeo mmoja, mtakimbia pamoja, utafanikiwa pamoja, kumbuka Kwa kuwa ukitangiliza utu, hutakuwa umekula jasho au maslahi ya wa chini yako .Aidha hutakuwa na deni.

8. La kuzingatia achana na mapenzi kwa sisi wafanyakazi. Kaa mbali kabisa na tamaa ya ngono

Hapa akikuchukia MTU basi mchawi atakamatwa tu.
 
Muda unakwenda Kwa Kasi. Huyu kiumbe sitamanigi kumuona. Siku Hadi siku najitahidi nimuondelee chuki moyoni inashindikana. Mimi kama binadamu najiona natenda kosa. Nahitaji kushinda moyo wangu moyo umekataa.

Kuna jambo linanifanya ishindikane..na niweke Waz hili.huyu boss anaroho ya kipumbavu sana. Anadharau watu ingawa anawatu wake anaopatana nao. 20 asilimia tu.. 80 anakinzananao. Huyu kama Boss lazima niwe naye mara Kwa Mara nafikiria kumkwepa kuhama kabisa ama hata kuacha kazi
Boss hanuniwi.
Mtumie kaffir upate mradi wako!
 
Acha kazi
Bosi hanuniwi

Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
 
Muda unakwenda Kwa Kasi. Huyu kiumbe sitamanigi kumuona. Siku Hadi siku najitahidi nimuondelee chuki moyoni inashindikana. Mimi kama binadamu najiona natenda kosa. Nahitaji kushinda moyo wangu moyo umekataa.

Kuna jambo linanifanya ishindikane..na niweke Waz hili.huyu boss anaroho ya kipumbavu sana. Anadharau watu ingawa anawatu wake anaopatana nao. 20 asilimia tu.. 80 anakinzananao. Huyu kama Boss lazima niwe naye mara Kwa Mara nafikiria kumkwepa kuhama kabisa ama hata kuacha kazi
Hebu weka mkasa hapa tuone pengine wewe ndiye una shida!
 
Muda unakwenda Kwa Kasi.

Huyu kiumbe sitamanigi kumuona. Siku Hadi siku najitahidi nimuondelee chuki moyoni inashindikana. Mimi kama binadamu najiona natenda kosa. Nahitaji kushinda moyo wangu moyo umekataa.

Kuna jambo linanifanya ishindikane..na niweke Waz hili, huyu boss anaroho ya kipumbavu sana. Anadharau watu ingawa ana watu wake anaopatana nao. 20 asilimia tu.. 80 anakinzana nao. Huyu kama Boss lazima niwe naye mara Kwa Mara nafikiria kumkwepa kuhama kabisa ama hata kuacha kazi
Acha kaz
 
Nimekupenda hii....hapana sio kila bosi...mabosi Hawa ni machawa...hapa namkaushia tu. Naye 40 zake zitafika tu
kwa ujuaji wako huu,,...tegemea kupigwa warning letter za kutosha...una ujuaji mwingi
 
Muda unakwenda Kwa Kasi.

Huyu kiumbe sitamanigi kumuona. Siku, Muda unavyokwenda najitahidi nimuondelee chuki moyoni inashindikana. Akiwa binadamu kama wengine najiona natenda kosa. Ushetaji unatusumbua, nahitaji kushinda moyo wangu moyo,nafsi,hurka, yangu inakataa.

Kuna jambo linanifanya ishindikane..na niweke waz hili, huyu boss anaroho ya kipumbavu sana. Anadharau watu ingawa ana watu wake anaopatana nao its like 20 asilimia tu.. na Zaid ya 80 anakinzana nao. Huyu kama boss lazima niwe naye mara kwa mara nafikiria kumkwepa kuhama kabisa ama hata kuacha kazi.

Nimalizie kwa kaushauri unapokuwa boss kuwa na
1. Utu. Anza na wengine kabla hujashiba wewe.
2. Mungu wako. Mungu huweka serikali na binadamu, ukawa wewe jali huduma.acha uchawa ukifanya uchawa unakuwa unaabudu wanadamu wenzio. Utakuwa huwatendei haki hata sisi wahudumu.
3. Sikiliza, wiwa mwepesi kugundua kutoka Kwa chini yako. Potential walioyonayo itakusaidia. Baada ya hapo ongeza,rekebisha,sahihisha. Acha kutanguliza dharau,ujuaji,matusi, kebehi nk.
4. Sometimes kiongoz unaongoza viongozi bila kujua. Wangapi walikuwa chini na baada ye wewe unakuwa chini wewe? Waliowahi kuona hili la kupanda juu ilhali mfanyakaz alikuwa chini yako watalielewa jambo hili.
5. Simamia usitawale. Supervisor anasimamia, waachie uhuru wa kitaalamu wanchini yako. Lakini namba 1 kuhusu utu, na namba 3. Ni vitu vya msingi sana.
6. Tenga Muda wako kutathmin uwezo na matokeo ya kila mmoja katika nafasi yake. Hapa utagundua unaandaa viongozi. Wakati mwingine utajiona kumbe hujui. Wafanyakazi wengi kada za chini wanajua na huwaachia mabosi wajuaji wajue hawajui yakitokea ya kutokea.
7. Mwisho. Jenga Timu Moja. Yenye muelekeo mmoja, mtakimbia pamoja, utafanikiwa pamoja, kumbuka Kwa kuwa ukitangiliza utu, hutakuwa umekula jasho au maslahi ya wa chini yako .Aidha hutakuwa na deni.
8. La kuzingatia achana na mapenzi kwa sisi wafanyakazi..Kaa mbali kabisa na tamaa ya ngono

Hapa akikuchukia MTU basi mchawi atakamatwa tuu
Nothing is permant
 
Back
Top Bottom