Nimetokea kumchukia sana boss mpya, naomba ushauri ndugu zangu

ukiona hivyo anza mipango ya kujiajili maana si kila binadamu utaweza endana nae sawa.
 
Muda unakwenda Kwa Kasi.

Huyu kiumbe sitamanigi kumuona. Siku, Muda unavyokwenda najitahidi nimuondelee chuki moyoni inashindikana. Akiwa binadamu kama wengine najiona natenda kosa. Ushetaji unatusumbua, nahitaji kushinda moyo wangu moyo,nafsi,hurka, yangu inakataa.

Kuna jambo linanifanya ishindikane..na niweke waz hili, huyu boss anaroho ya kipumbavu sana. Anadharau watu ingawa ana watu wake anaopatana nao its like 20 asilimia tu.. na Zaid ya 80 anakinzana nao. Huyu kama boss lazima niwe naye mara kwa mara nafikiria kumkwepa kuhama kabisa ama hata kuacha kazi.

Nimalizie kwa kaushauri unapokuwa boss kuwa na
1. Utu. Anza na wengine kabla hujashiba wewe.
2. Mungu wako. Mungu huweka serikali na binadamu, ukawa wewe jali huduma.acha uchawa ukifanya uchawa unakuwa unaabudu wanadamu wenzio. Utakuwa huwatendei haki hata sisi wahudumu.
3. Sikiliza, wiwa mwepesi kugundua kutoka Kwa chini yako. Potential walioyonayo itakusaidia. Baada ya hapo ongeza,rekebisha,sahihisha. Acha kutanguliza dharau,ujuaji,matusi, kebehi nk.
4. Sometimes kiongoz unaongoza viongozi bila kujua. Wangapi walikuwa chini na baada ye wewe unakuwa chini wewe? Waliowahi kuona hili la kupanda juu ilhali mfanyakaz alikuwa chini yako watalielewa jambo hili.
5. Simamia usitawale. Supervisor anasimamia, waachie uhuru wa kitaalamu wanchini yako. Lakini namba 1 kuhusu utu, na namba 3. Ni vitu vya msingi sana.
6. Tenga Muda wako kutathmin uwezo na matokeo ya kila mmoja katika nafasi yake. Hapa utagundua unaandaa viongozi. Wakati mwingine utajiona kumbe hujui. Wafanyakazi wengi kada za chini wanajua na huwaachia mabosi wajuaji wajue hawajui yakitokea ya kutokea.
7. Mwisho. Jenga Timu Moja. Yenye muelekeo mmoja, mtakimbia pamoja, utafanikiwa pamoja, kumbuka Kwa kuwa ukitangiliza utu, hutakuwa umekula jasho au maslahi ya wa chini yako .Aidha hutakuwa na deni.
8. La kuzingatia achana na mapenzi kwa sisi wafanyakazi..Kaa mbali kabisa na tamaa ya ngono

Hapa akikuchukia MTU basi mchawi atakamatwa tuu
BOSS HANUNIWI.
 
La kuzingatia achana na mapenzi kwa sisi wafanyakazi. Kaa mbali kabisa na tamaa ya ngono
Hiki kipengere kinaponza wengi na ndo chanzo kikubwa cha bifu kati ya boss na watu wake wa chini.
Wewe kama mtu wa chini,umefuata kazi na si kuonyesha ubabe wa kupendwa na mabinti kazini.

Mwisho pamoja na ushauri mzuri kwa viongozi,lakini kumbuka siku zote
boss ameshika mpini na wanaoongozwa wameshika makali,hii ipo hivyo hata kwenye vyombo vya dini.
Mimi huwa naangalia,nikishauri nisiposikilizwa nafuata anavyotaka boss,maana kazi ikiharibika anaulizwa yeye.

Mambo ya kushindania mademu na maboss ndo kabisaa nilishaachana nayo ili kazi yangu idumu
Ni hayo.
 
Ukimjua mbwa hakusumbui jina

Usijihangaishe kuona anatakiwa kuwa tofauti ili wewe uwe comfortable HAITOTOKEA maana
ndio ashakuwa hivyo,

ukimpenda au ukimchukia ni juu yako labda wewe ndio ubadili namna uendane nae au uache kazi

Matter of fact, watu wa hivyo ndio huwa wanaonekana wanafanya sana kazi na kupewa vyeo na watu wa juu ni kugusa

Ila sisi wenye DNA za mother theresa ambao unataka upendwe na kukubalika na watu, utasugua gaga sana unless uwe na performance ya hatari Ila kama mediocre , utaendelea kuliaa hivyo hivyo mkuu..

Pole sana
 
Muda unakwenda kwa kasi.

Huyu kiumbe sitamanigi kumuona. Siku, Muda unavyokwenda najitahidi nimuondelee chuki moyoni inashindikana. Akiwa binadamu kama wengine najiona natenda kosa. Ushetaji unatusumbua, nahitaji kushinda moyo wangu moyo,cnafsi,churka, yangu inakataa.

Kuna jambo linanifanya ishindikane..na niweke waz hili, huyu boss anaroho ya kipumbavu sana. Anadharau watu ingawa ana watu wake anaopatana nao its like 20 asilimia tu.. na Zaid ya 80 anakinzana nao. Huyu kama boss lazima niwe naye mara kwa mara nafikiria kumkwepa kuhama kabisa ama hata kuacha kazi.

Nimalizie kwa kaushauri unapokuwa boss kuwa na:

1. Utu. Anza na wengine kabla hujashiba wewe.

2. Mungu wako. Mungu huweka serikali na binadamu, ukawa wewe jali huduma.acha uchawa ukifanya uchawa unakuwa unaabudu wanadamu wenzio. Utakuwa huwatendei haki hata sisi wahudumu.

3. Sikiliza, wiwa mwepesi kugundua kutoka Kwa chini yako. Potential walioyonayo itakusaidia. Baada ya hapo ongeza,rekebisha,sahihisha. Acha kutanguliza dharau,ujuaji,matusi, kebehi nk.

4. Sometimes kiongozi unaongoza viongozi bila kujua. Wangapi walikuwa chini na baada ye wewe unakuwa chini wewe? Waliowahi kuona hili la kupanda juu ilhali mfanyakaz alikuwa chini yako watalielewa jambo hili.

5. Simamia usitawale. Supervisor anasimamia, waachie uhuru wa kitaalamu wanchini yako. Lakini namba 1 kuhusu utu, na namba 3. Ni vitu vya msingi sana.

6. Tenga Muda wako kutathmin uwezo na matokeo ya kila mmoja katika nafasi yake. Hapa utagundua unaandaa viongozi. Wakati mwingine utajiona kumbe hujui. Wafanyakazi wengi kada za chini wanajua na huwaachia mabosi wajuaji wajue hawajui yakitokea ya kutokea.

7. Mwisho. Jenga Timu Moja. Yenye muelekeo mmoja, mtakimbia pamoja, utafanikiwa pamoja, kumbuka Kwa kuwa ukitangiliza utu, hutakuwa umekula jasho au maslahi ya wa chini yako .Aidha hutakuwa na deni.

8. La kuzingatia achana na mapenzi kwa sisi wafanyakazi. Kaa mbali kabisa na tamaa ya ngono

Hapa akikuchukia MTU basi mchawi atakamatwa tu.
Nakumbuka nilishawah kufanya kazi kwenye Restaurant moja kubwa tu. Nilifanya kazi pale kama cashier.

Nakumbuka siku ya kwanza naenda kufanya kazi pale, nilimkuta boss na yeye ndyo alienda kunitambulisha kwa wafanyakazi wenzangu ofisini.

Siku ya kwanza nakutana na yule mzee tuliongea kwa ufupi nikanotice kitu kuhusu yule mzee, siku naanza kufanya kazi nikaanza kuhakikisha yale niliyokuwa nahisi.

Inshot ni kwamba yule mzee alikuwa ni mkorofi kwa kila mfanyakazi pake kazini, mpaka kwa mwanae na kuna siku mwanae aliniambia kwamba yule mzee mpaka nyumban kwake ni mkorofi.

Hawa watu tunao kwenye maisha yetu ya kila siku, inabid tuishi nao kwa akili.
 
Congratulatio! You are one step away from being a Professional Witch.
 
Muda unakwenda kwa kasi.

Huyu kiumbe sitamanigi kumuona. Siku, Muda unavyokwenda najitahidi nimuondelee chuki moyoni inashindikana. Akiwa binadamu kama wengine najiona natenda kosa. Ushetaji unatusumbua, nahitaji kushinda moyo wangu moyo,cnafsi,churka, yangu inakataa.

Kuna jambo linanifanya ishindikane..na niweke waz hili, huyu boss anaroho ya kipumbavu sana. Anadharau watu ingawa ana watu wake anaopatana nao its like 20 asilimia tu.. na Zaid ya 80 anakinzana nao. Huyu kama boss lazima niwe naye mara kwa mara nafikiria kumkwepa kuhama kabisa ama hata kuacha kazi.

Nimalizie kwa kaushauri unapokuwa boss kuwa na:

1. Utu. Anza na wengine kabla hujashiba wewe.

2. Mungu wako. Mungu huweka serikali na binadamu, ukawa wewe jali huduma.acha uchawa ukifanya uchawa unakuwa unaabudu wanadamu wenzio. Utakuwa huwatendei haki hata sisi wahudumu.

3. Sikiliza, wiwa mwepesi kugundua kutoka Kwa chini yako. Potential walioyonayo itakusaidia. Baada ya hapo ongeza,rekebisha,sahihisha. Acha kutanguliza dharau,ujuaji,matusi, kebehi nk.

4. Sometimes kiongozi unaongoza viongozi bila kujua. Wangapi walikuwa chini na baada ye wewe unakuwa chini wewe? Waliowahi kuona hili la kupanda juu ilhali mfanyakaz alikuwa chini yako watalielewa jambo hili.

5. Simamia usitawale. Supervisor anasimamia, waachie uhuru wa kitaalamu wanchini yako. Lakini namba 1 kuhusu utu, na namba 3. Ni vitu vya msingi sana.

6. Tenga Muda wako kutathmin uwezo na matokeo ya kila mmoja katika nafasi yake. Hapa utagundua unaandaa viongozi. Wakati mwingine utajiona kumbe hujui. Wafanyakazi wengi kada za chini wanajua na huwaachia mabosi wajuaji wajue hawajui yakitokea ya kutokea.

7. Mwisho. Jenga Timu Moja. Yenye muelekeo mmoja, mtakimbia pamoja, utafanikiwa pamoja, kumbuka Kwa kuwa ukitangiliza utu, hutakuwa umekula jasho au maslahi ya wa chini yako .Aidha hutakuwa na deni.

8. La kuzingatia achana na mapenzi kwa sisi wafanyakazi. Kaa mbali kabisa na tamaa ya ngono

Hapa akikuchukia MTU basi mchawi atakamatwa tu.

Mkuu una options 2 tu kwako. Kumpenda boss wako na kumkubali au kuachana na hiyo kazi ili usiwe naye karibu. Vinginevyo kuna gharama kubwa sana hasa za kiafya utazilipa huko mbeleni utake usitake. Huwezi kukichukia kitu unachoishi nacho halafu ubaki salama. I'm sure ww kama wengineo unatumia zaidi ya nusu ya muda wako wa sk kazini ukiondoa muda unaokuwa kitandani.

Ukiwa na chuki huzaa hasira (anger). Nimalizie kwa quote maarufu inayohusu anger toka kwa Budha.“Buddha quote: "Holding onto anger is like drinking poison and expecting the other person to die."
 
Bobby Asante Sana. Kazi za umma I mean public, hazinaga mwenyewe. I am holding anger to an allogant individual. I a m telling you fo r real .no body is happy with em. Watu Hawa tunaita a matter of time won't take longer will be fuccked hawez kusurvive.

Nitampenda something I mentioned earlier Kwa sabb ya ubinadam wetu baaaasi sinkwa sabb he is a boss no
 
William hata mimi najua unanichukia lakin ndo hivyo huna Cha kunifanya ndo hivyo nimeshakua boss wako we piga majungu tu Jf Ila ofisini ntakuburuza Kama hutajitambua
 
“Ofisi sio mali ya baba yangu, ninaposhindwa kuendana na kasi lazima niachie, kampuni ni kubwa zaidi yangu”

Si utoke mkuu? Achia ofisi ya watu!
 
Back
Top Bottom