Nimetokea kumchukia sana boss mpya, naomba ushauri ndugu zangu

Kichwa cha Habari kinadhihirisha wewe sio mstarabu na huna lugha ya staha
 
Kukunyima posho tu wakati kazi hufanyi ndo iwe sababu ya kuni chukia na kunileta uku..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…