Nimetokea kumpenda Miss Chagga

WIDAJAMU

Member
Joined
Apr 10, 2017
Posts
32
Reaction score
20
Habari zenu wana jf, kwakweli leo nimeamua kuvunja ukimya, tangu nianze kutumia hii forum, nimegundua kitu kimoja kuwa watu wengi(almost 98%) wanatumia picha na Id fake. Lakini hilo halikunizuia mimi kuona maono.

Historia fupi,
Mimi naitwa xxxx, nilzaliwa Kigoma-kasulu, kwa sasa nipo UDsm-muce Iringa, Nasoma BSc, ed, Phy&Ch third year.

Mwaka 2016 ndo nilijiunga jf nikijua ni kama fb ambapo watu huwa wanaexpose face zao na names pia, lakini si hivyo. Ndipo nilipo vutiwa na mdada/m-mama mmoja anajiita miss chagga.
Kusema ukweli sijawahi kumuona wala kuwasiliana nae, lakini jina lake linaniaminisha ni bonge la cute, na nimeweka ahadi ya kufunga nae ndoa. Nina 25yrs old.
Please wana jf nisaidieni kumpata huyu KE ili niulidhishe moyo wangu.

. . . Nawasilisha....

WIDAJAMU
 
Embu soma kwanza na wewe jamani ... Miss chaga kama zari vile anaangalia sehemu zenye fursa ... Kijana ndio kwanza bado unasoma hata hela ya kumhamisamobeto na rav4 [emoji594][emoji594][emoji594] huna ... Mkono mtupu haulambwiii kwa Miss Chaga mkuuu....(just joking)
 
Duuh ni bonge la mtu na huo mkopo wa chuo wote utaishia kwenye vocha Tu,
Ushauri hapo mkwawa university college of education, ruaha catholic au nenda tumaini university kuna watoto wazuri tena uzuri hapo mkwawa wote ni prospect teachers najua life itakua poah zaidi.
Huku utaliwa hela zako Tu na hupati kitu.
 
Wewe ni domo zege? Kama ulionao chuoni tu wamekushinda huyu wa duniani utamuweza?
 
Unakifurushi gani you natumia kwanza

Isije ukawa wa jaza jazwe den unatafuta mlima ileee[emoji14][emoji13][emoji13]
 
Anapenda kupakatwa huyu, una ujuzi wa kupakata Mkuu?

CC: miss chagga

 
Kaza mwanangu ngangangaaa mpaka kieleweke maana umetoa ya moyoni ujue,labda mwenyewe aseme hapana ndio unyooshe mikono juu [emoji23][emoji23]
 
Nimekuelewa madam, lakini bas aje atoe japo neno, moyo wangu ulidhike japo kidogo
 
Kaza mwanangu ngangangaaa mpaka kieleweke maana umetoa ya moyoni ujue,labda mwenyewe aseme hapana ndio unyooshe mikono juu [emoji23][emoji23]
Ndo nahitaji walau hata neno moja kutoka kwake, jaman hii dunia nitaishije bila kuwa na miss chagga? Acheni hizo jamani naombeni msaada
 
Mkuu hapa ninao wengi but for Discussions only, but I need Miss Chagga as my future wife.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…