Habari zenu wana jf, kwakweli leo nimeamua kuvunja ukimya, tangu nianze kutumia hii forum, nimegundua kitu kimoja kuwa watu wengi(almost 98%) wanatumia picha na Id fake. Lakini hilo halikunizuia mimi kuona maono.
Historia fupi,
Mimi naitwa xxxx, nilzaliwa Kigoma-kasulu, kwa sasa nipo UDsm-muce Iringa, Nasoma BSc, ed, Phy&Ch third year.
Mwaka 2016 ndo nilijiunga jf nikijua ni kama fb ambapo watu huwa wanaexpose face zao na names pia, lakini si hivyo. Ndipo nilipo vutiwa na mdada/m-mama mmoja anajiita miss chagga.
Kusema ukweli sijawahi kumuona wala kuwasiliana nae, lakini jina lake linaniaminisha ni bonge la cute, na nimeweka ahadi ya kufunga nae ndoa. Nina 25yrs old.
Please wana jf nisaidieni kumpata huyu KE ili niulidhishe moyo wangu.
. . . Nawasilisha....
WIDAJAMU