uncledalali
JF-Expert Member
- Jan 10, 2014
- 249
- 118
Unajuaje kama wa vyuoni kesha wamaliza, sasa ameamia duniani ndyo ameanza na miss chagga kiivyoWewe ni domo zege? Kama ulionao chuoni tu wamekushinda huyu wa duniani utamuweza?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unajuaje kama wa vyuoni kesha wamaliza, sasa ameamia duniani ndyo ameanza na miss chagga kiivyoWewe ni domo zege? Kama ulionao chuoni tu wamekushinda huyu wa duniani utamuweza?
Hapo sasa[emoji23] [emoji23] [emoji23]Jamani hata me nakupenda ila sasa Mdogo wangu unazungusha ngapi? Me napenda pesa na ndiyo maisha
Nina wasi wasi na hii foto braza
KwambaNina wasi wasi na hii foto braza
Hiyo foto mbona kama dizaini za kina BeyonceKwamba
Duuuh!! Kijana unapotea na kama miss chagga ameshaolewa je ina maana utakufa? Siwezi hudhuria hata kidogo mazishi yako kwa sababu itakuwa ni uzembe wa marehemu na ni aibu kwa vijana wenzio.Ndo nahitaji walau hata neno moja kutoka kwake, jaman hii dunia nitaishije bila kuwa na miss chagga? Acheni hizo jamani naombeni msaada
Dizaini kama. .., ndio Huyo,Hiyo foto mbona kama dizaini za kina Beyonce
Huyo demu wa mbele bwanaDizaini kama. .., ndio Huyo,
[emoji23][emoji23][emoji23] kwamba ni pieDogo una HELA? i don't know Miss chagga in person but najua lazima awe anapenda HELA