Nimetokea kumpenda Miss Chagga

Acha ujinga utapendaje jina kwenye mtandao ilihari unao waona huwapendi unamapungufu kichwani wewe
 
Atakufilisi huyo mtu, achana nae.... Uko shule hujaanza kuzichanga, miss chaga atakunyonya damu,..
 
Ndo nahitaji walau hata neno moja kutoka kwake, jaman hii dunia nitaishije bila kuwa na miss chagga? Acheni hizo jamani naombeni msaada
Duuuh!! Kijana unapotea na kama miss chagga ameshaolewa je ina maana utakufa? Siwezi hudhuria hata kidogo mazishi yako kwa sababu itakuwa ni uzembe wa marehemu na ni aibu kwa vijana wenzio.
 
Kijana una gari hivi vitu tuachie wazee someni acheni ujinga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…