Nimetokea kumpenda Miss Chagga

Nimetokea kumpenda Miss Chagga

Endelea kupenda ID fake tu yatakayokukuta ulete mrejesho..

Hivi mtu unaanzaje kuwa na hisia na ID feki hujamuona mtu live??
 
Upo sahihi hisia zako ni mrembo haswaa.

Lakini Una Master Card?
Una Pesa?_[emoji383]
 
Unaijua ofisi ya serikali ya mufilisi ilipo? Kachukue fomu mapemaaa
 
Mkuu... kwanza HONGERA kwa kuwa muwazi ila "she ain't an average chick" yakubidi uwe na vyuma kama sio hivyo basii may be "u survive a tale to tell"
 
Kumpenda mtu usiyemjua haijaanza leo. Zamani babu zetu hadi walimfahamu mke siku ya harusi, anatokea mtu anakuunganisha tu komaa kama pesa ipo.
 
Dogo maliza chuo upate hela niulize mimi huyo mwanamke atakufirisi
 
Ww mkuu acha hivyo pesa ndio kila ki2 make . pesa unaweza kufanya ki2 unacho kitaka aseey xhida xan mkuu
 
Hvi hizi thread za kuwapenda wanawake wa humu hua ni za kweli ? Na je hua mnakubaliwa ? Miss chaga mpe huyu jamaa jibu hpa hapa tujue hatma yenu
 
Jamani hata me nakupenda ila sasa Mdogo wangu unazungusha ngapi? Me napenda pesa na ndiyo maisha
 
Back
Top Bottom