Nimetokea kumpenda sana hadi nashindwa kujicontrol

Nimetokea kumpenda sana hadi nashindwa kujicontrol

Bora sisi wa standard 7B,
Eti chuo na poor mentality
 
Wadau... Nina kadent kangu ka 1st yr chuo flanii hivii, haka kabint nina muda nako naeza kukadiria ka 3 yrs.

Ofcuz
kenyewe ndio kaliFall in-love kipindi hiko mimi nipo college nilikua nakadharau.
Sasa siku hizi kamekua M' SUPER ni kazuriii kinyama.

Wakuu naeza sema kataniua kwa presha, mzee nimekuja kujikuta nna malengo nako yale ya mbalii kichiz plus na kumpenda basiii ni hatariii tupu.

Somtimes naeza kukapigia simu nikakuta kanatumika bas ntazzila hapo, nitafikiria na mimi kulipiza kisas cha kumpigia mtu mwingine mana najua kataniCall Back si nako kananipenda.

Wazee kataniuaa haka katoto nikienda nako na speed hii ambayo zaman sikua nayo...

Ushauri tafadhali...
jaribu kubana matumizi kwenye matumizi ya herufi i. i.e usijen ukasema magufuliiiiii ni magufuli. [HASHTAG]#tuendane[/HASHTAG] na kasi ya serikali yetu kwa kubana matumizi .....lol
 
Kupenda kupindukia sio kuzur man. Jitahid sana.. uthibit hisia zako. Huyo dada akigundua.... atakuburuza mbaya.
Ila achen kuendekezana..... mtamfel chuo...
 
Hata hivyo ulihadika sana mdau ni vizuri umetokea tumekukumbuka.
 
iundwe taasisi ya siri iwe inachunguza watu kama wewe muwe mnakamatwa kimya kimya mpelekwe magereza, mbaavu zako
 
jaribu kubana matumizi kwenye matumizi ya herufi i. i.e usijen ukasema magufuliiiiii ni magufuli. [HASHTAG]#tuendane[/HASHTAG] na kasi ya serikali yetu kwa kubana matumizi .....lol
[emoji115] [emoji115] [emoji2] [emoji2] umetisha mkuu
 
Back
Top Bottom