Nimetokea kumpenda sana hadi nashindwa kujicontrol

Nimetokea kumpenda sana hadi nashindwa kujicontrol

Mtu anayeshindwa kujicontroll means Mlevi maana hujikojolea hata Njiani!
 
Anashindwa kujicontrol kasema. Msaada anaoomba anatafuta wa kumcontrol ili nayeye amcontrol demu wake.Sawasawa.
Ukiwa mwanaume mchamungu hiyo kazi ngumu mazee.
 
Back
Top Bottom