Mme Mwenza
JF-Expert Member
- Feb 6, 2025
- 252
- 301
Hahahahahaha anapima kina cha maji kwa mguuMkamateni huyu, dawa zake anyweshwe kwa nguvu!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahahahaha anapima kina cha maji kwa mguuMkamateni huyu, dawa zake anyweshwe kwa nguvu!!
Mwambie watu wanagharamia yey anataka kitongaunataka ingia kwenye mtego ambao kuingia ni rahisi kuliko kutoka na unasema unatamani kuja kupakwa mafuta kwenye magari waliyonunua wanaume?
Ila ukumbuke ana mwenzie au mbia katika kuzaa huyo aliyemfanya awe single. Je unajua kilichomfanya awe single mother? Kabla ya kuuliza, kawahusishe wazazi wako wakupe darasa la bure mwanangu.Mimi sio mtu ninaependa hovyo.
Ninatabia ya kuwaelewa wanawake fulani wenye nyota ya mvuto. Yaani kuna wanawake unakuta wanaume wamejipanga wote wanamfukuzia.
Sasa huyu single mama anashida kwenye mahusiano na hataki kusikia harufu ya usumbufu. Mimi nae tunalonga vzr. Nimeanza kumwambia kwa mbaaali namna nilivyo muelewa ila niko njia panda maana hawa hawaaminiki. Ni mzur sana black beauty
Ananyota ya kupendwa, yaan kuna wanawake flan sijui wanaume wanaona nini tunawagombania. Hawa wanawake wa aina hii wana u wife material flan hivi.
Utakuta sio uzuri wa kutisha bali anakakitu kamejificha kanatenegeza upendo.
Mwingine ni mke wa mtu. Huyu ameolewa na jamaa ni mzee flan sasa kwa kuwa ana ka photogenic kauziri flan ambako ukimuweka ndani unainjoi ua 🌹 lake zuri basi nae nimemzimia sana. Najamaa amemuwekea ndani sababu hii. Ana akili na analinda ndoa yake. Mimi kama mchafuzi nataka Nike nisepe.
Sasa wote hawa wamenunukiwa magari nataka niwale kwenye magari yao
Dogo ulichokosa ni akili, single mom nà mke wa mtu ndo wewe unajisifu siyo mtu wa kupenda ovyo?Mimi sio mtu ninaependa hovyo.
Ninatabia ya kuwaelewa wanawake fulani wenye nyota ya mvuto. Yaani kuna wanawake unakuta wanaume wamejipanga wote wanamfukuzia.
Sasa huyu single mama anashida kwenye mahusiano na hataki kusikia harufu ya usumbufu. Mimi nae tunalonga vzr. Nimeanza kumwambia kwa mbaaali namna nilivyo muelewa ila niko njia panda maana hawa hawaaminiki. Ni mzur sana black beauty
Ananyota ya kupendwa, yaan kuna wanawake flan sijui wanaume wanaona nini tunawagombania. Hawa wanawake wa aina hii wana u wife material flan hivi.
Utakuta sio uzuri wa kutisha bali anakakitu kamejificha kanatenegeza upendo.
Mwingine ni mke wa mtu. Huyu ameolewa na jamaa ni mzee flan sasa kwa kuwa ana ka photogenic kauziri flan ambako ukimuweka ndani unainjoi ua 🌹 lake zuri basi nae nimemzimia sana. Najamaa amemuwekea ndani sababu hii. Ana akili na analinda ndoa yake. Mimi kama mchafuzi nataka Nike nisepe.
Sasa wote hawa wamenunukiwa magari nataka niwale kwenye magari yao
Hiyo ndio akili aliyokupa Mungu?Mimi sio mtu ninaependa hovyo.

WANA U WIFE MATERIALAnanyota ya kupendwa, yaan kuna wanawake flan sijui wanaume wanaona nini tunawagombania. Hawa wanawake wa aina hii wana u wife material flan hivi.
Hahahahaha Simba walifanya maamuzi magumu ya kukimbia kipigo.Fanya maamuzi kama waliyofanya simba juzi.
Single mama mbususu zenu tamu ila tatizo mkiolewa mnagawa mbususus kwa bby daddy tena akojoleee ndaniii kabisaNenda njia yenye Giza ukutane mbele na mwanga kuliko kwenda ya mwanga ukutane na Giza .
POV;mbona ma single mama wa umu mnatukataa jaman💔💔