Nimetokea kumpenda sana single mother yaani nipo njia panda

Nimetokea kumpenda sana single mother yaani nipo njia panda

Kimpira huyo singo maza anacheza pyua kaunta attacking football

Yani kabla ya ndoa anakuachia ummiliki wa mpira .....siku utakavomuweka ndani utaelewa sasa

Muulize man City atakueleza hao Nottingham forest sio wa kucheza nao😀😀
 
Mimi sio mtu ninaependa hovyo.

Ninatabia ya kuwaelewa wanawake fulani wenye nyota ya mvuto. Yaani kuna wanawake unakuta wanaume wamejipanga wote wanamfukuzia.

Sasa huyu single mama anashida kwenye mahusiano na hataki kusikia harufu ya usumbufu. Mimi nae tunalonga vzr. Nimeanza kumwambia kwa mbaaali namna nilivyo muelewa ila niko njia panda maana hawa hawaaminiki. Ni mzur sana black beauty

Ananyota ya kupendwa, yaan kuna wanawake flan sijui wanaume wanaona nini tunawagombania. Hawa wanawake wa aina hii wana u wife material flan hivi.

Utakuta sio uzuri wa kutisha bali anakakitu kamejificha kanatenegeza upendo.

Mwingine ni mke wa mtu. Huyu ameolewa na jamaa ni mzee flan sasa kwa kuwa ana ka photogenic kauziri flan ambako ukimuweka ndani unainjoi ua 🌹 lake zuri basi nae nimemzimia sana. Najamaa amemuwekea ndani sababu hii. Ana akili na analinda ndoa yake. Mimi kama mchafuzi nataka Nike nisepe.

Sasa wote hawa wamenunukiwa magari nataka niwale kwenye magari yao
Hakuna mtu wa kumwambia huyu jamaa atumie kichwa cha juu kuwaza!!!😎

anastasia21 hebu mwambie.
 
Mwambie aje na ushahidi, hii tuhuma kubwa sana.

Ila tu kiukweli, mwanamke akizaa na mwanaume hata wakiachana hawana jambo tena la kufichana? Wanapeana tu wakitaka. Mmepigana miti hadi kuzaa sasa nini mnafichana kwa kwa sasa.

Singo maza popote mlipo mnalo, you are on your own.

Hii kampeni ngumu sana kwenu
Mnatusingizia jaman sio kweli😹
 
Kimpira huyo singo maza anacheza pyua kaunta attacking football

Yani kabla ya ndoa anakuachia ummiliki wa mpira .....siku utakavomuweka ndani utaelewa sasa

Muulize man City atakueleza hao Nottingham forest sio wa kucheza nao😀😀
Au awaulize Yanga kwa Tabora, Ana possess 73% ya mpira Tabora 27.. ila mwisho game Yanga 0-3 Tabora..
 
Back
Top Bottom