Nimetokea kumpenda sana single mother yaani nipo njia panda

Ila ukumbuke ana mwenzie au mbia katika kuzaa huyo aliyemfanya awe single. Je unajua kilichomfanya awe single mother? Kabla ya kuuliza, kawahusishe wazazi wako wakupe darasa la bure mwanangu.
 
Dogo ulichokosa ni akili, single mom nà mke wa mtu ndo wewe unajisifu siyo mtu wa kupenda ovyo?
Huoni hapo ndio kupenda ovyo?
 
Hiyo ndio akili aliyokupa Mungu?
 
Nenda njia yenye Giza ukutane mbele na mwanga kuliko kwenda ya mwanga ukutane na Giza .
POV;mbona ma single mama wa umu mnatukataa jaman💔💔
Single mama mbususu zenu tamu ila tatizo mkiolewa mnagawa mbususus kwa bby daddy tena akojoleee ndaniii kabisa
 
Hivi wanaume wenzangu kwanini hamtaki kuelewa somo kuhusu single mothers?

Wewe unadhani kwanini mwanaume mwenzako amemzalisha kisha akamkimbia licha ya uzuri wake wa sura ama shepu?

Ukiona mwanamke amezalishwa na kutelekezwa usikurupuke kujiweka hapo utakuja kulia vibaya sana.

Vinginevyo labda huyo single maza awe mjane lakini sio aliyeachana na bwana ake aliyemzalisha. Ipo siku watarudiana tu hata ipite miaka sasa hapo ndipo utakapoona kila rangi na kama ndiyo umeshapenda kibwege utaumia maisha yako yote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…