Nimetokea kumpenda sana single mother yaani nipo njia panda

Kimpira huyo singo maza anacheza pyua kaunta attacking football

Yani kabla ya ndoa anakuachia ummiliki wa mpira .....siku utakavomuweka ndani utaelewa sasa

Muulize man City atakueleza hao Nottingham forest sio wa kucheza nao๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€
 
Hakuna mtu wa kumwambia huyu jamaa atumie kichwa cha juu kuwaza!!!๐Ÿ˜Ž

anastasia21 hebu mwambie.
 
Mwambie aje na ushahidi, hii tuhuma kubwa sana.

Ila tu kiukweli, mwanamke akizaa na mwanaume hata wakiachana hawana jambo tena la kufichana? Wanapeana tu wakitaka. Mmepigana miti hadi kuzaa sasa nini mnafichana kwa kwa sasa.

Singo maza popote mlipo mnalo, you are on your own.

Hii kampeni ngumu sana kwenu
Mnatusingizia jaman sio kweli๐Ÿ˜น
 
Kimpira huyo singo maza anacheza pyua kaunta attacking football

Yani kabla ya ndoa anakuachia ummiliki wa mpira .....siku utakavomuweka ndani utaelewa sasa

Muulize man City atakueleza hao Nottingham forest sio wa kucheza nao๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€
Au awaulize Yanga kwa Tabora, Ana possess 73% ya mpira Tabora 27.. ila mwisho game Yanga 0-3 Tabora..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ