Leo wakuu nilirudi katika Chuo nilichosomea, kuna course nilienda kusoma ya mwezi mmoja
Baada ya kumaliza course Leo nimeenda kuchukua cheti changu
Dah, mhudumu alikua mwanadada wakuu sio poa mtoto ana shape ya haja sio 😋
Tulikuwa tumekaa kwenye foleni, anaingia mmoja mmoja anapewa cheti chake,
Picha linaanza, tulibaki ofisini wawili, ile ofisi ina wakuu wa idara wawili wote hawakuwepo,
Nikaanza kumsifia, madam kiukweli umependeza, upo vizuri mashallah, nikamwambia uumbaji uliopewa ni watu wa mbeya au mwanza, akasema yeye ni mwanza, 😊nikamwambia mi pia ni mwanza moja, basi akafurahi(unajua Ile vibe mkikutana watu mkoa mmoja daslam) tukapiga story mbili tatu
Nimechukua Namba yake Ila kupitia kwa mtu mwingine wakuu boss wake alipoingia demu akawa serias nilishindwa kuchukua namba🥶story zikakata nikasaini la waliochukua vyeti nikapita hivi
NB. Maboss zake wote mule ni wanawake Wakina mama watu wazima (maboss wangekuwa waiume nisngekuchukua Namba)
namuingiaje wakuu japo sisi ni matabaka tofauti yeye secretary mimi dereva bajaji? Tupeane mbinu