Nimetokea kuvutiwa na secretary wa moja ya ofisi za Chuo nilichosoma namuingiaje?

Sema kuna pisi, ukikutana nazo kuna namna unajiona usipochukua namba au kuiimbisha, ni kama kuna kitu hakijakamilika😂😂

unakuta mtoto kasimama ni hatari, kwahy unajikuta unapambania tu, hii ni kawaida kwetu mzee.

Hata mm kuna mfamasia mmoja yuko jirani na ofisi yangu, ni mfanyakaz hana muda sana ni kama wiki tuu ila uzalendo unaenda kunishinda mkuu😂

As soon as possible nitaleta mrejesho kwenye uzi wetu pendwa wa muda wote wa kimasihara 😂😂😂
Huyo atleast mna karibu unaweza ukadinya mzee
 
Cha kwanza , wahi kumtafuta mapema ili akukumbuke na umkumbushe

Cha pili ukiwa unajitambulisha uombe radhi kwa kutochukua namba yake kutoka na pia umuambie hauna nia mbaya.

Cha tatu, umuambie itakuwa faraja na priviledge kwako kama mkifamiana

Cha nne, anza kuwa siliana ila mostly iwe jioni akitoka kazini

Kwa sababu yeye ana kazi ambayo ni ya ofisini na wewe unajiona bajaji, unatakiwa uamshe nguvu zako zote katika kuwa charming na kuendelea kusifia urembo wake

Mara moja moja unamtumia surprise ya chocolate pale kazini kwake, maua ya kiaina

after kama wiki tatu au mwezi , au mwez na nusu, mkisha zoena, mkutane na umuimbishe kuw aunampenda

WAKO JASUSI COHEN
Sniper kuna kipengele cha muda unakikosea....
 
Aya ushauri konk huo hapo👆
 
Leo wakuu nilirudi katika Chuo nilichosomea, kuna course nilienda kusoma ya mwezi mmoja

Baada ya kumaliza course Leo nimeenda kuchukua cheti changu

Dah, mhudumu alikua mwanadada wakuu sio poa mtoto ana shape ya haja sio 😋

Tulikuwa tumekaa kwenye foleni, anaingia mmoja mmoja anapewa cheti chake,

Picha linaanza, tulibaki ofisini wawili, ile ofisi ina wakuu wa idara wawili wote hawakuwepo,

Nikaanza kumsifia, madam kiukweli umependeza, upo vizuri mashallah, nikamwambia uumbaji uliopewa ni watu wa mbeya au mwanza, akasema yeye ni mwanza, 😊nikamwambia mi pia ni mwanza moja, basi akafurahi(unajua Ile vibe mkikutana watu mkoa mmoja daslam) tukapiga story mbili tatu

Nimechukua Namba yake Ila kupitia kwa mtu mwingine wakuu boss wake alipoingia demu akawa serias nilishindwa kuchukua namba🥶story zikakata nikasaini la waliochukua vyeti nikapita hivi

NB. Maboss zake wote mule ni wanawake Wakina mama watu wazima (maboss wangekuwa waiume nisngekuchukua Namba)

namuingiaje wakuu japo sisi ni matabaka tofauti yeye secretary mimi dereva bajaji? Tupeane mbinu
Tafuta ajira za kudumu kwanza!
 
Akifanya hivi anampata 😜
 
Mmmhhh, nadhan fanya moja kati ya haya mawili
1. Weka namba hapa tujue ikiwa yupo singo na huwa anagawa kwa dereva bodaboda za miguu mitatu.
2. Tuelekeze chuo uliposoma na kozi yako ili tunapomuelekeza kukuhusu wewe atuelewe kirahisi. Lakini kwa akili ya wasomi wa Cuba, ni NIT😎

ONYO.
Uzuri wa mwanamke ni mtizamo wa kila mwanaume. Msipoteze muda wenu.
 
Sema kuna pisi, ukikutana nazo kuna namna unajiona usipochukua namba au kuiimbisha, ni kama kuna kitu hakijakamilika😂😂

unakuta mtoto kasimama ni hatari, kwahy unajikuta unapambania tu, hii ni kawaida kwetu mzee.

Hata mm kuna mfamasia mmoja yuko jirani na ofisi yangu, ni mfanyakaz hana muda sana ni kama wiki tuu ila uzalendo unaenda kunishinda mkuu😂

As soon as possible nitaleta mrejesho kwenye uzi wetu pendwa wa muda wote wa kimasihara 😂😂😂
Hivi Tanzania bado ipo Uchumi wa Kati. Au tumerudia kulekule chini?
 
Mmmhhh, nadhan fanya moja kato ya haya mawili
1. Weka namba hapa tujue ikiwa yupo singo na huwa anagawa kwa dereva bodaboda za miguu mitatu.
2. Tuelekeze chuo uliposoma na kozi yako ili tunapomuelekeza kukuhusu wewe atuelewe kirahisi. Lakini kwa akili ya wasomi wa Cuba, ni NIT😎

ONYO.
Uzuri wa mwanamke ni mtizamo wa kila mwanaume. Msipoteze muda wenu.
Kwamba NIT mkuu,, ila we Jamaa sio nit mkuu ni Chuo kipo "k.nyama"
 
Leo wakuu nilirudi katika Chuo nilichosomea, kuna course nilienda kusoma ya mwezi mmoja

Baada ya kumaliza course Leo nimeenda kuchukua cheti changu

Dah, mhudumu alikua mwanadada wakuu sio poa mtoto ana shape ya haja sio 😋

Tulikuwa tumekaa kwenye foleni, anaingia mmoja mmoja anapewa cheti chake,

Picha linaanza, tulibaki ofisini wawili, ile ofisi ina wakuu wa idara wawili wote hawakuwepo,

Nikaanza kumsifia, madam kiukweli umependeza, upo vizuri mashallah, nikamwambia uumbaji uliopewa ni watu wa mbeya au mwanza, akasema yeye ni mwanza, 😊nikamwambia mi pia ni mwanza moja, basi akafurahi(unajua Ile vibe mkikutana watu mkoa mmoja daslam) tukapiga story mbili tatu

Nimechukua Namba yake Ila kupitia kwa mtu mwingine wakuu boss wake alipoingia demu akawa serias nilishindwa kuchukua namba🥶story zikakata nikasaini la waliochukua vyeti nikapita hivi

NB. Maboss zake wote mule ni wanawake Wakina mama watu wazima (maboss wangekuwa waiume nisngekuchukua Namba)

namuingiaje wakuu japo sisi ni matabaka tofauti yeye secretary mimi dereva bajaji? Tupeane mbinu
Hebu nipe namba yake niongee naye nimwambie unamtafuta
 
Back
Top Bottom