Nimetokea kuvutiwa na secretary wa moja ya ofisi za Chuo nilichosoma namuingiaje?

Bolotoba

JF-Expert Member
Joined
Apr 24, 2024
Posts
4,545
Reaction score
10,426
Leo wakuu nilirudi katika Chuo nilichosomea, kuna course nilienda kusoma ya mwezi mmoja

Baada ya kumaliza course Leo nimeenda kuchukua cheti changu

Dah, mhudumu alikua mwanadada wakuu sio poa mtoto ana shape ya haja sio ๐Ÿ˜‹

Tulikuwa tumekaa kwenye foleni, anaingia mmoja mmoja anapewa cheti chake,

Picha linaanza, tulibaki ofisini wawili, ile ofisi ina wakuu wa idara wawili wote hawakuwepo,


Nikaanza kumsifia, madam kiukweli umependeza, upo vizuri mashallah, nikamwambia uumbaji uliopewa ni watu wa mbeya au mwanza, akasema yeye ni mwanza, ๐Ÿ˜Šnikamwambia mi pia ni mwanza moja, basi akafurahi(unajua Ile vibe mkikutana watu mkoa mmoja daslam) tukapiga story mbili tatu

Nimechukua Namba yake Ila kupitia kwa mtu mwingine wakuu boss wake alipoingia demu akawa serias nilishindwa kuchukua namba๐Ÿฅถstory zikakata nikasaini la waliochukua vyeti nikapita hivi

NB. Maboss zake wote mule ni wanawake Wakina mama watu wazima (maboss wangekuwa waiume nisngekuchukua Namba)

namuingiaje wakuu japo sisi ni matabaka tofauti yeye secretary mimi dereva bajaji? Tupeane mbinu
 
Cha kwanza , wahi kumtafuta mapema ili akukumbuke na umkumbushe

Cha pili ukiwa unajitambulisha uombe radhi kwa kutochukua namba yake kutoka na pia umuambie hauna nia mbaya.

Cha tatu, umuambie itakuwa faraja na priviledge kwako kama mkifamiana

Cha nne, anza kuwa siliana ila mostly iwe jioni akitoka kazini

Kwa sababu yeye ana kazi ambayo ni ya ofisini na wewe unajiona bajaji, unatakiwa uamshe nguvu zako zote katika kuwa charming na kuendelea kusifia urembo wake

Mara moja moja unamtumia surprise ya chocolate pale kazini kwake, maua ya kiaina

after kama wiki tatu au mwezi , au mwez na nusu, mkisha zoena, mkutane na umuimbishe kuw aunampenda

WAKO JASUSI COHEN

Binti Sayuni03 natumaini niko sahihi angalau 80%
 
Yes huwa anatoka satisa unusu kazini
 
@Eli
Why not mkuu,
Why not mkuu,


COHEN NA BOLOTOBA MMEKUTANA PIPA NA MFUNIKO WAKE ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ ... MNATIANA MOYO

AFU NDO NDUGU ZANGU SASA! NTAFANYAJE?
 
sasa hapo, inabidi uisome saikolojia yake, pia ni binti wa aina gani kuna muda uongo unatusaidia kupata totoz hasa hizi za hit and run๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Ila kama unataka kumuoa you need to be real mkuu.
Hapana siwezi mtoto mwenye ndukumu(zigo kubwa kama lile) ๐Ÿ˜ni Tamaa za ujana
 
Hapana siwezi mtoto mwenye ndukumu(zigo kubwa kama lile) ๐Ÿ˜ni Tamaa za ujana
Sema kuna pisi, ukikutana nazo kuna namna unajiona usipochukua namba au kuiimbisha, ni kama kuna kitu hakijakamilika๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

unakuta mtoto kasimama ni hatari, kwahy unajikuta unapambania tu, hii ni kawaida kwetu mzee.

Hata mm kuna mfamasia mmoja yuko jirani na ofisi yangu, ni mfanyakaz hana muda sana ni kama wiki tuu ila uzalendo unaenda kunishinda mkuu๐Ÿ˜‚

As soon as possible nitaleta mrejesho kwenye uzi wetu pendwa wa muda wote wa kimasihara ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ