Huyo atleast mna karibu unaweza ukadinya mzeeSema kuna pisi, ukikutana nazo kuna namna unajiona usipochukua namba au kuiimbisha, ni kama kuna kitu hakijakamilika😂😂
unakuta mtoto kasimama ni hatari, kwahy unajikuta unapambania tu, hii ni kawaida kwetu mzee.
Hata mm kuna mfamasia mmoja yuko jirani na ofisi yangu, ni mfanyakaz hana muda sana ni kama wiki tuu ila uzalendo unaenda kunishinda mkuu😂
As soon as possible nitaleta mrejesho kwenye uzi wetu pendwa wa muda wote wa kimasihara 😂😂😂
Sniper kuna kipengele cha muda unakikosea....Cha kwanza , wahi kumtafuta mapema ili akukumbuke na umkumbushe
Cha pili ukiwa unajitambulisha uombe radhi kwa kutochukua namba yake kutoka na pia umuambie hauna nia mbaya.
Cha tatu, umuambie itakuwa faraja na priviledge kwako kama mkifamiana
Cha nne, anza kuwa siliana ila mostly iwe jioni akitoka kazini
Kwa sababu yeye ana kazi ambayo ni ya ofisini na wewe unajiona bajaji, unatakiwa uamshe nguvu zako zote katika kuwa charming na kuendelea kusifia urembo wake
Mara moja moja unamtumia surprise ya chocolate pale kazini kwake, maua ya kiaina
after kama wiki tatu au mwezi , au mwez na nusu, mkisha zoena, mkutane na umuimbishe kuw aunampenda
WAKO JASUSI COHEN
Aya ushauri konk huo hapo👆Cha kwanza , wahi kumtafuta mapema ili akukumbuke na umkumbushe
Cha pili ukiwa unajitambulisha uombe radhi kwa kutochukua namba yake kutoka na pia umuambie hauna nia mbaya.
Cha tatu, umuambie itakuwa faraja na priviledge kwako kama mkifamiana
Cha nne, anza kuwa siliana ila mostly iwe jioni akitoka kazini
Kwa sababu yeye ana kazi ambayo ni ya ofisini na wewe unajiona bajaji, unatakiwa uamshe nguvu zako zote katika kuwa charming na kuendelea kusifia urembo wake
Mara moja moja unamtumia surprise ya chocolate pale kazini kwake, maua ya kiaina
after kama wiki tatu au mwezi , au mwez na nusu, mkisha zoena, mkutane na umuimbishe kuw aunampenda
WAKO JASUSI COHEN
Tafuta ajira za kudumu kwanza!Leo wakuu nilirudi katika Chuo nilichosomea, kuna course nilienda kusoma ya mwezi mmoja
Baada ya kumaliza course Leo nimeenda kuchukua cheti changu
Dah, mhudumu alikua mwanadada wakuu sio poa mtoto ana shape ya haja sio 😋
Tulikuwa tumekaa kwenye foleni, anaingia mmoja mmoja anapewa cheti chake,
Picha linaanza, tulibaki ofisini wawili, ile ofisi ina wakuu wa idara wawili wote hawakuwepo,
Nikaanza kumsifia, madam kiukweli umependeza, upo vizuri mashallah, nikamwambia uumbaji uliopewa ni watu wa mbeya au mwanza, akasema yeye ni mwanza, 😊nikamwambia mi pia ni mwanza moja, basi akafurahi(unajua Ile vibe mkikutana watu mkoa mmoja daslam) tukapiga story mbili tatu
Nimechukua Namba yake Ila kupitia kwa mtu mwingine wakuu boss wake alipoingia demu akawa serias nilishindwa kuchukua namba🥶story zikakata nikasaini la waliochukua vyeti nikapita hivi
NB. Maboss zake wote mule ni wanawake Wakina mama watu wazima (maboss wangekuwa waiume nisngekuchukua Namba)
namuingiaje wakuu japo sisi ni matabaka tofauti yeye secretary mimi dereva bajaji? Tupeane mbinu
Akifanya hivi anampata 😜Cha kwanza , wahi kumtafuta mapema ili akukumbuke na umkumbushe
Cha pili ukiwa unajitambulisha uombe radhi kwa kutochukua namba yake kutoka na pia umuambie hauna nia mbaya.
Cha tatu, umuambie itakuwa faraja na priviledge kwako kama mkifamiana
Cha nne, anza kuwa siliana ila mostly iwe jioni akitoka kazini
Kwa sababu yeye ana kazi ambayo ni ya ofisini na wewe unajiona bajaji, unatakiwa uamshe nguvu zako zote katika kuwa charming na kuendelea kusifia urembo wake
Mara moja moja unamtumia surprise ya chocolate pale kazini kwake, maua ya kiaina
after kama wiki tatu au mwezi , au mwez na nusu, mkisha zoena, mkutane na umuimbishe kuw aunampenda
WAKO JASUSI COHEN
Ngoja nitajaribu hii njia kwako😂😂Akifanya hivi anampata 😜
😂😂Sniper kuna kipengele cha muda unakikosea....
Mmmhhh, nadhan fanya moja kati ya haya mawiliLeo wakuu nilirudi katika Chuo nilichosomea, kuna course nilienda kusoma ya mwezi mmoja
Baada ya kumaliza course Leo nimeenda kuchukua cheti changu
Dah, mhudumu alikua mwanadada wakuu sio poa mtoto ana shape ya haja sio 😋
Tulikuwa tumekaa kwenye foleni, anaingia mmoja mmoja anapewa cheti chake,
Picha linaanza, tulibaki ofisini wawili, ile ofisi ina wakuu wa idara wawili wote hawakuwepo,
Nikaanza kumsifia, madam kiukweli umependeza, upo vizuri mashallah, nikamwambia uumbaji uliopewa ni watu wa mbeya au mwanza, akasema yeye ni mwanza, 😊nikamwambia mi pia ni mwanza moja, basi akafurahi(unajua Ile vibe mkikutana watu mkoa mmoja daslam) tukapiga story mbili tatu
Nimechukua Namba yake Ila kupitia kwa mtu mwingine wakuu boss wake alipoingia demu akawa serias nilishindwa kuchukua namba🥶story zikakata nikasaini la waliochukua vyeti nikapita hivi
NB. Maboss zake wote mule ni wanawake Wakina mama watu wazima (maboss wangekuwa waiume nisngekuchukua Namba)
namuingiaje wakuu japo sisi ni matabaka tofauti yeye secretary mimi dereva bajaji? Tupeane mbinu
Hivi Tanzania bado ipo Uchumi wa Kati. Au tumerudia kulekule chini?Sema kuna pisi, ukikutana nazo kuna namna unajiona usipochukua namba au kuiimbisha, ni kama kuna kitu hakijakamilika😂😂
unakuta mtoto kasimama ni hatari, kwahy unajikuta unapambania tu, hii ni kawaida kwetu mzee.
Hata mm kuna mfamasia mmoja yuko jirani na ofisi yangu, ni mfanyakaz hana muda sana ni kama wiki tuu ila uzalendo unaenda kunishinda mkuu😂
As soon as possible nitaleta mrejesho kwenye uzi wetu pendwa wa muda wote wa kimasihara 😂😂😂
Kwamba NIT mkuu,, ila we Jamaa sio nit mkuu ni Chuo kipo "k.nyama"Mmmhhh, nadhan fanya moja kato ya haya mawili
1. Weka namba hapa tujue ikiwa yupo singo na huwa anagawa kwa dereva bodaboda za miguu mitatu.
2. Tuelekeze chuo uliposoma na kozi yako ili tunapomuelekeza kukuhusu wewe atuelewe kirahisi. Lakini kwa akili ya wasomi wa Cuba, ni NIT😎
ONYO.
Uzuri wa mwanamke ni mtizamo wa kila mwanaume. Msipoteze muda wenu.
🤣🤣🤣😂Kwamba NIT mkuu,, ila we Jamaa sio nit mkuu ni Chuo kipo "k.nyama"
Basi basi ni Chuo cha bandari🤣🤣🤣🤣😂
Acha kutuhamisha mkuu, Udereva ni NIT.
Kijitonyama pale ni Kairuki kwa kuilazimisha, Wasiojulikana, Ustawi na hakuna kingine bhana.🤣
Haya mkuu, kila la heri bhana. Pambana, kama ni wako utampata ila isiwe tamaa ya ngono tu mnatujazia singo maza🤣🤣😂Basi basi ni Chuo cha bandari🤣
Nazingatia mkuu siwezi waletea singo mazaHaya mkuu, kila la heri bhana. Pambana, kama ni wako utampata ila isiwe tamaa ya ngono tu mnatujazia singo maza🤣🤣😂
Hebu nipe namba yake niongee naye nimwambie unamtafutaLeo wakuu nilirudi katika Chuo nilichosomea, kuna course nilienda kusoma ya mwezi mmoja
Baada ya kumaliza course Leo nimeenda kuchukua cheti changu
Dah, mhudumu alikua mwanadada wakuu sio poa mtoto ana shape ya haja sio 😋
Tulikuwa tumekaa kwenye foleni, anaingia mmoja mmoja anapewa cheti chake,
Picha linaanza, tulibaki ofisini wawili, ile ofisi ina wakuu wa idara wawili wote hawakuwepo,
Nikaanza kumsifia, madam kiukweli umependeza, upo vizuri mashallah, nikamwambia uumbaji uliopewa ni watu wa mbeya au mwanza, akasema yeye ni mwanza, 😊nikamwambia mi pia ni mwanza moja, basi akafurahi(unajua Ile vibe mkikutana watu mkoa mmoja daslam) tukapiga story mbili tatu
Nimechukua Namba yake Ila kupitia kwa mtu mwingine wakuu boss wake alipoingia demu akawa serias nilishindwa kuchukua namba🥶story zikakata nikasaini la waliochukua vyeti nikapita hivi
NB. Maboss zake wote mule ni wanawake Wakina mama watu wazima (maboss wangekuwa waiume nisngekuchukua Namba)
namuingiaje wakuu japo sisi ni matabaka tofauti yeye secretary mimi dereva bajaji? Tupeane mbinu
Kwenye vizawadi hapo sasa 🔨🔨🔨Ngoja nitajaribu hii njia kwako😂😂