Nimetokea kuwa ignored na CO - Worker

Nimetokea kuwa ignored na CO - Worker

Doto12

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2023
Posts
640
Reaction score
1,141
Ndugu wana nzengo.

Mimi ni Mtumishi wa Umma nafaya kwenye taasisi nyeti nchini jijini DSM.

Wajihi wangu.
Mimi si muongeaji, sipendi pia watu wanaoongea sana. Najikuta nakaa kimya tu. Naweza nisi comment chochote, hata ikiwa najua eneo la hoja inayoingelewa.

Kwenye kitengo chetu tumetenganishwa na short walls. Inatokea chatting za hapa na pale. Watu wanne katika watano tunaofanyia eneo moja KE wapo 3, na ME tupowawili.

Ke mmoja ni age mate, nahisi ananichukia sana japo anajionqga mtu MuNgu sana. KE wale wawili ni wadogo around 30s hivi. Sisi wengine wanaume wawili huyu hatter wangu tupo 40s. Sometimes hanipi ushirikiano baadhi ya mambo na ndipo ninapoona ana ni ignore.

Naomba msaada wa kuondokana na hili jambo niwe free
 
Dawa ya mtu anae Ku ignore ni wewe kum ignore mara mbili yake ..hata ukimuona jifanye humuoni.....

Lakini vile vile jaribu kuchunguza usikute kuna sababu...
Labda anahisi wewe unamdharau...
Au pengine mwenzio kiziwi..
Au ana tatizo la kuamini na kusikia kila anachoambiwa..
Lazima kuna sababu.....

Unaweza kum ignore kabisa Hadi ashike adabu au unaweza tafuta suluhu Kwa kuchunguza na kurekebisha
 
Kingine pia wachukulie wanawake kama "machizi" itakusaidia Sana..
Since wanawake wote wanapata tatizo la hormones kupanda na kushuka..kitu ambacho wengine huwapa hasira au huzuni za bila sababu. Ndo maana wanaweza hata kununa au kuanzisha maugomvi yasiyo na sababu...ishi nao Kwa tahadhari
 
Umengea neno kubwa sana.

Kuignore more. Asante sana. Huwa napaki gari mbezi kuepuka foleni ya mini. Akimdoka anaweza akawaita wadau wengine kama hawajaja na magari yao. Mm kitendo cha ku ni ignore hata kusema Doto12 tukuache mbezi. Ana ita wengine.dah
Wewe nawe kwani lazima akuite.Nimegundua wala hakuignore kabisa.Wewe ndo unajihisi hivyo.Ishi kwa kutokutegemea mtu akufanyie jambo.Utaona utakuwa mtu mwenye furaha.Sasa mtu asipokupa lift,wewe unaumia jamani. Hahahahaha nimecheka sana.
 
Nimeandika nimefuta, nimeandika tena nimefuta

Kiufupi kwa experience yangu lazma nitakupa ushauri mbovu

Ila kwa solution ya chap, fanya kilichokupeleka hapo kazini kisha rudi home maana kuchukiwa kazini au mtaani ni jambo la kawaida
Mbona umeelewrka tu mkuu
 
Anakuadmire sana mkuu ila inaoneka wewe uko bize na mambo yako umeshindwa kurecognize kwamba anakukubali. Hiyo imemfanya awe afeel kama hatoshi kwako na defensive mechanism yake ni kujifanya anakuignore, amini nakwambia huyo mwanamke anakupenda sana
Wanawake akili zao wanazijua wenyewe
 
Kiufupi wamefanya Unachowafanyiaaa...!! Hushangai ni wew peke yako tu ndo unapotezewa??? Mjifunze kujichanganya na watu hasa maeneo ya kazi kujikuta introvert ni ungeseee sio kila mada lazima uchangie ila Usijikute wew ndo wa maana sana kuzidi wengine.. Otherwise usione hutendewi haki endelea na utaratibu wako na usiwahukumu waliofanya unachowafanyia.
 
Back
Top Bottom