Nimetokea kuwa ignored na CO - Worker

Nimetokea kuwa ignored na CO - Worker

Ndugu wana nzengo.

Mimi ni Mtumishi wa Umma nafaya kwenye taasisi nyeti nchini jijini DSM.

Wajihi wangu.
Mimi si muongeaji, sipendi pia watu wanaoongea sana. Najikuta nakaa kimya tu. Naweza nisi comment chochote, hata ikiwa najua eneo la hoja inayoingelewa.

Kwenye kitengo chetu tumetenganishwa na short walls. Inatokea chatting za hapa na pale. Watu wanne katika watano tunaofanyia eneo moja KE wapo 3, na ME tupowawili.

Ke mmoja ni age mate, nahisi ananichukia sana japo anajionqga mtu MuNgu sana. KE wale wawili ni wadogo around 30s hivi. Sisi wengine wanaume wawili huyu hatter wangu tupo 40s. Sometimes hanipi ushirikiano baadhi ya mambo na ndipo ninapoona ana ni ignore.

Naomba msaada wa kuondokana na hili jambo niwe free
Don't entertain her hate toward you...ignore jifanye huuoni Na hujali
 
Salimia wenzio,jali mambo yako.Huezi kumridhisha kila mtu.
 
Umengea neno kubwa sana.

Kuignore more. Asante sana. Huwa napaki gari mbezi kuepuka foleni ya mini. Akimdoka anaweza akawaita wadau wengine kama hawajaja na magari yao. Mm kitendo cha ku ni ignore hata kusema Doto12 tukuache mbezi. Ana ita wengine.dah
Au anakupenda
 
Ndugu wana nzengo.

Mimi ni Mtumishi wa Umma nafaya kwenye taasisi nyeti nchini jijini DSM.

Wajihi wangu.
Mimi si muongeaji, sipendi pia watu wanaoongea sana. Najikuta nakaa kimya tu. Naweza nisi comment chochote, hata ikiwa najua eneo la hoja inayoingelewa.

Kwenye kitengo chetu tumetenganishwa na short walls. Inatokea chatting za hapa na pale. Watu wanne katika watano tunaofanyia eneo moja KE wapo 3, na ME tupowawili.

Ke mmoja ni age mate, nahisi ananichukia sana japo anajionqga mtu MuNgu sana. KE wale wawili ni wadogo around 30s hivi. Sisi wengine wanaume wawili huyu hatter wangu tupo 40s. Sometimes hanipi ushirikiano baadhi ya mambo na ndipo ninapoona ana ni ignore.

Naomba msaada wa kuondokana na hili jambo niwe free
May be anakupenda anafanya vitu kucatch your attention afu were unajifanya huon
 
Anakuadmire sana mkuu ila inaoneka wewe uko bize na mambo yako umeshindwa kurecognize kwamba anakukubali. Hiyo imemfanya awe afeel kama hatoshi kwako na defensive mechanism yake ni kujifanya anakuignore, amini nakwambia huyo mwanamke anakupenda sana
Wanawake akili zao wanazijua wenyewe
Uko sahihi
 
Tatizo ni lifti ni wimbo ulioimbwa na Vijana Jazz.
 
Mchane makavu -ushauri wetu wahuni unaishia hapo
 
Kingine pia wachukulie wanawake kama "machizi" itakusaidia Sana..
Since wanawake wote wanapata tatizo la hormones kupanda na kushuka..kitu ambacho wengine huwapa hasira au huzuni za bila sababu. Ndo maana wanaweza hata kununa au kuanzisha maugomvi yasiyo na sababu...ishi nao Kwa tahadhari
Hapo

Hapo kwenye machizi
MUNGU anakuona.
 
Umeenda kufanya kazi kulitumikia Taifa au umeenda kutafuta undugu?
Fanya kilichokupeleka hapo Boss, kama hakulipi mshahara au kukulipia bili why worry 😟

Kuna wakati watu tunatengeneza matatizo wenyewe au attention seeker 😆
 
Jiangalie, shida itakua kwako pia, when in Rome do what Romans do
 
Back
Top Bottom