Braza Kede
JF-Expert Member
- Nov 1, 2012
- 3,840
- 6,844
HaaahaaaHatimaye nimeiona coment niliyokuwa naitafuta.
Usishangae mpwa
Mambo ya ajira za connection hayo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HaaahaaaHatimaye nimeiona coment niliyokuwa naitafuta.
samahani KU ignore ni kituo Cha daladala huko daslam ehh🙄🤔Sasa wakikuignore wewe unapungukiwa Nini?
Don't entertain her hate toward you...ignore jifanye huuoni Na hujaliNdugu wana nzengo.
Mimi ni Mtumishi wa Umma nafaya kwenye taasisi nyeti nchini jijini DSM.
Wajihi wangu.
Mimi si muongeaji, sipendi pia watu wanaoongea sana. Najikuta nakaa kimya tu. Naweza nisi comment chochote, hata ikiwa najua eneo la hoja inayoingelewa.
Kwenye kitengo chetu tumetenganishwa na short walls. Inatokea chatting za hapa na pale. Watu wanne katika watano tunaofanyia eneo moja KE wapo 3, na ME tupowawili.
Ke mmoja ni age mate, nahisi ananichukia sana japo anajionqga mtu MuNgu sana. KE wale wawili ni wadogo around 30s hivi. Sisi wengine wanaume wawili huyu hatter wangu tupo 40s. Sometimes hanipi ushirikiano baadhi ya mambo na ndipo ninapoona ana ni ignore.
Naomba msaada wa kuondokana na hili jambo niwe free
Au anakupendaUmengea neno kubwa sana.
Kuignore more. Asante sana. Huwa napaki gari mbezi kuepuka foleni ya mini. Akimdoka anaweza akawaita wadau wengine kama hawajaja na magari yao. Mm kitendo cha ku ni ignore hata kusema Doto12 tukuache mbezi. Ana ita wengine.dah
May be anakupenda anafanya vitu kucatch your attention afu were unajifanya huonNdugu wana nzengo.
Mimi ni Mtumishi wa Umma nafaya kwenye taasisi nyeti nchini jijini DSM.
Wajihi wangu.
Mimi si muongeaji, sipendi pia watu wanaoongea sana. Najikuta nakaa kimya tu. Naweza nisi comment chochote, hata ikiwa najua eneo la hoja inayoingelewa.
Kwenye kitengo chetu tumetenganishwa na short walls. Inatokea chatting za hapa na pale. Watu wanne katika watano tunaofanyia eneo moja KE wapo 3, na ME tupowawili.
Ke mmoja ni age mate, nahisi ananichukia sana japo anajionqga mtu MuNgu sana. KE wale wawili ni wadogo around 30s hivi. Sisi wengine wanaume wawili huyu hatter wangu tupo 40s. Sometimes hanipi ushirikiano baadhi ya mambo na ndipo ninapoona ana ni ignore.
Naomba msaada wa kuondokana na hili jambo niwe free
Uko sahihiAnakuadmire sana mkuu ila inaoneka wewe uko bize na mambo yako umeshindwa kurecognize kwamba anakukubali. Hiyo imemfanya awe afeel kama hatoshi kwako na defensive mechanism yake ni kujifanya anakuignore, amini nakwambia huyo mwanamke anakupenda sana
Wanawake akili zao wanazijua wenyewe
HapoKingine pia wachukulie wanawake kama "machizi" itakusaidia Sana..
Since wanawake wote wanapata tatizo la hormones kupanda na kushuka..kitu ambacho wengine huwapa hasira au huzuni za bila sababu. Ndo maana wanaweza hata kununa au kuanzisha maugomvi yasiyo na sababu...ishi nao Kwa tahadhari
Hapo kwenye machiziKingine pia wachukulie wanawake kama "machizi" itakusaidia Sana..