rikiboy
JF-Expert Member
- Feb 19, 2017
- 21,952
- 43,265
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Labda kama hufanyi kazi mahali ila ni moja ya experience mbaya kabisa kazini otherwise kama ni mchawi utaona ni jambo la kawaida..!!Sasa wakikuignore wewe unapungukiwa Nini?
Kama unafanya kazi ofisi kwako ndo Nyumbani kwako huko unakaa masaa 10+ ukirudi mtaani masaa 4 tu umelala kukichaa tena kazini.