Nimetokea kuwa ignored na CO - Worker

Sasa wakikuignore wewe unapungukiwa Nini?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Labda kama hufanyi kazi mahali ila ni moja ya experience mbaya kabisa kazini otherwise kama ni mchawi utaona ni jambo la kawaida..!!

Kama unafanya kazi ofisi kwako ndo Nyumbani kwako huko unakaa masaa 10+ ukirudi mtaani masaa 4 tu umelala kukichaa tena kazini.
 
Akili hii unafanya kazi ofisi nyeti?....
Labda nyeti zako
 
Hapo ndio safi kama mimi hata majina siwajui kabisa ,namba za simu sina kabisa ...Napiga kazi kazi then nasepa sipendi shobo ili kuepuka migogoro na dharau.
 
Kawaida sana bro,kama kazi zangu zinaenda sijali hata kidogo....kwanza unajiepusha na nye nye nye...unawasalimia unafanya kazi zako, unachungulia online,unaenda lunch,unamaliza kazi zako....mnaagana...Unless uwe Mtu unaempenda maongezi mengi
 
Kwani
anayeongelewa ni mwanamke?
 
Watu wakimya huwa rahisi sana kujiunga na jumuiya za walozi.

anza kuchangamka la sivyo mpaka sabuni zitaanza kukuignore mwishoni 😂
 

Kwani ni lazma uelewane na kila workmate?.

Hivi unajua hakuna sehemu yenye masnitch, wanafki na mahusiano ya vikundi kama makazini

Kama hujawahi kuacha kazi sehemu na ukapitia msoto flani, huwezi kujua uhalisia wa workmates

Kiufupi asilimia 99 ya workmates sio rafiki zako na hawakujali kwa lolote kwa hiyo usijipe umuhimu kwenye maisha yao. Fanya nao kazi fresh, kuwa na mahusiano nao ya kawaida. Ila usiende extra mile kuwapa umuhimu mkubwa maana ipo siku utafurahishwa
 
Kwa hiyo katika wafanyakazi Watano unaofanya nao kazii wote wanakupotezea wew mmoja unaona Upo sawa kabisa???? Acheni hizo attitude za ovyooo mnaishi na watu kama wachawiii...
 
Katika sehemu zote za kazi nilizopita huwa nakutana na hizo kesi na Chanzo kikubwa ni Mmoja hawezi kujishushaaa..mwingine hataki kukubali kakosea anapoambiwa anaweka Chukii...!! Lakini ukiona wew mmoja peke yako ndo unapotezewa bhasi Asilimi 98 wew ndo mwenye shida mahali.
 
Sio kesi hata hivyo. Kwan mtu akikupotezea na wewe si unampotezea tu, shida iko wapi? Tatizo jamaa can't take it, issue ya kupotezewa inam hurt.

Ukinipotezea mimi aaahhh yan utalia mwenyewe maana hata sielewag kama napotezewa, am only focusing on my stuffs alone
 
Jitahidi hata uwe unatoa salamu kwa wenzio huku unatabasamu.

Asubuhi ukikutana na mfanyakazi mwenzio: " Habari za asubuhi? Mpo salama?" Huku unatabasamu.
Jioni saa ya kuondoka: Muwe na jioni njema jamani, MUNGU akijalia kesho tena".

Halafu acha kujinyanyua, taasisi nyeti ndio nini? Mna nyetisha nini? Wewe ni mtumishi wa uma, inatosha kujitambulisha hivyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…