Mohammed wa 5
JF-Expert Member
- Jun 20, 2022
- 1,215
- 3,035
Habari zenu wakuu
Nimejikuta tu ghafla nimetokea kuwapenda wanawake wanaovaa nguo za kiume tomboys au nikimuona mwanamke kavaa nguo za kiume navutiwa nae..unamkuta pisi Kali imevaa jezi kwa juu chini ana jinsi au kibukta flan hiv kanyoa afro au low cut wanavutia sana.
Nimekuwa shabiki wa timu za wanawake Simba queen au Yanga princess kila mechi zao naenda kuziangalia Kuna pisi zinanivutia nikizionaga tu.
Matomboy ni wanawake wazuri na wanajua kujari wako real sana
Sina muda hata wa kuwaangalia mara mbili Hawa mademu wa town akisuka Rasta, kavaa kimini au awe na shepu vipi ata akijiremba vipi sinaga time nao.
Nb: Nawakubali life style yao tu Ila sio kuwa nao kimahusiano
Hisia za mtu ziheshimiwe😊