Nimetokea kuwapenda wanawake wanao vaa nguo za kiume(tomboy)

Nimetokea kuwapenda wanawake wanao vaa nguo za kiume(tomboy)

Wakuu baadhi mnenielewa vibaya
Nawakubali the way jinsi walivyo
Dress code zao
life style
sio pisi za kufake life wako real
nasikia kweny mahusiano wanajari pia...
japo sijawahi kudate nao na Sina mpango huo.
na sio kila tomboy ni msagaji wengine ni mavazi tu lakini wako Kama wanawake wa kawaida na wanaliwa vizuri na wengine Hadi Wana watoto.
 
Habari zenu wakuu

Nimejikuta tu ghafla nimetokea kuwapenda wanawake wanaovaa nguo za kiume tomboys au nikimuona mwanamke kavaa nguo za kiume navutiwa nae..unamkuta pisi Kali imevaa jezi kwa juu chini ana jinsi au kibukta flan hiv kanyoa afro au low cut wanavutia sana.

Nimekuwa shabiki wa timu za wanawake Simba queen au Yanga princess kila mechi zao naenda kuziangalia Kuna pisi zinanivutia nikizionaga tu.

Matomboy ni wanawake wazuri na wanajua kujari wako real sana

Sina muda hata wa kuwaangalia mara mbili Hawa mademu wa town akisuka Rasta, kavaa kimini au awe na shepu vipi ata akijiremba vipi sinaga time nao.

Nb: Nawakubali life style yao tu Ila sio kuwa nao kimahusiano

Hisia za mtu ziheshimiwe😊
Pita huku
 
Aliyekwambia rimming ni kwa wanaume pekee Nani?niliona mwanamke anafanyiwa rimming sasa
Aiseee jinsi ulivyo mbobevu ukaona uangalie huku na kule ila naona kabisa ya dume ndo ilikubamba hadi umeikumbuka kwenye uzi huu[emoji1787]
 
Iv wa hivyo wengi wao wanakuwa wasagaji kwani?
Akiwa msagaji anaitwa Stud, ila sio wote wanaojua kuwatofautisha, wengi humuita stud tomboy,
Ila tomboy hawi msagaji ni mavazi na ile michezo ya kiume na hata kutembea
 
Habari zenu wakuu

Nimejikuta tu ghafla nimetokea kuwapenda wanawake wanaovaa nguo za kiume tomboys au nikimuona mwanamke kavaa nguo za kiume navutiwa nae..unamkuta pisi Kali imevaa jezi kwa juu chini ana jinsi au kibukta flan hiv kanyoa afro au low cut wanavutia sana.

Nimekuwa shabiki wa timu za wanawake Simba queen au Yanga princess kila mechi zao naenda kuziangalia Kuna pisi zinanivutia nikizionaga tu.

Matomboy ni wanawake wazuri na wanajua kujari wako real sana

Sina muda hata wa kuwaangalia mara mbili Hawa mademu wa town akisuka Rasta, kavaa kimini au awe na shepu vipi ata akijiremba vipi sinaga time nao.

Nb: Nawakubali life style yao tu Ila sio kuwa nao kimahusiano

Hisia za mtu ziheshimiwe[emoji4]
Zinaheshimika
 
Sorry nipo nje ya mada, mfano sasahivi ndio naona likitamkwa neno Tomboy watu wanakuwa straight kuwa msagaji ila nakumbuka siku za nyuma kidogo jina Tomboy lilikuwa just linatumiaka tu kwa Mwanamke yeyote aliyekuwa na swaga au cutting za kiume Kama dress codes, marafiki nk wengi tulikuwa nao shule na haikumaanisha wanasagana washakaji kibao tu kiwaida kusema na date na Tomboy au namkubali yule Tomboy ila sasahivi naona imekuwa strictly Sana kuwa neno Tomboy ni anajihusisha na usagaji

Nafikiri anachomaanisha mtoa mada ndio hiko na ndicho na hoamini mfano wale wachezaji wakike wa Simba na yanga Kama Fetty Densa namjua huyo zamani tuliwaita Tomboy na hatukumaanisha anasagana

Kwani hata zamani zile rangi za Rainbow si zilikuwepo, si zilikuwa kawaida tu, ila sasa hv ni rangi ya ushoga, ni signature yao, hivyo time is everything, tomboy siku hz ni majike dume, sio kama zamani, ilikuwa kawaida, dunia imebadilika, hata ww unasemea zamani, we are not living in the past, we are living at present, the world has gone wild, mashonga wanatetewa kila kona na wenye uwezo wa dunia hii, uchafu uchafu mtupu..!!
 
Back
Top Bottom