Nimetokea kuwapenda wanawake wanao vaa nguo za kiume(tomboy)

Mwanaume rijali ata ulimpeleka mkono utashangaa umepigwa bonge la Kofi,wafanyie hao hao machoko
Mwanaume rijali ataangalia video ya rimjob hebu usitupange hapa, ww ilikuaje kuaje hadi ukasachi video ya rimjob kwenye xxx
 
Siku hizi ukiwa kwenye kuchek,Kuna baadhi zinakuja zenyewe automatically,na jina kabisa,hivyo sio vya kuuliza,l
Kwa hiyo ulivyoona rimjob na picha ya mwanaume kajichanua analambwa mbio mbio ukafungua, ili ugundue nini sasa, [emoji23]
 
Ukweli gani mwehu wewe,sijafika uko aisee,najua ni michezo yako,kwa hiyo usilazimishe tuwe sawa
Ningekua nafanya nisingekataa ila inashangaza kuona wewe unakataa kitu unachokifanya kwani nani anakujua hapa [emoji2960]
 
Habari zenu wakuu

Nimejikuta tu ghafla nimetokea kuwapenda wanawake wanaovaa nguo za kiume tomboys au nikimuona mwanamke kavaa nguo za kiume navutiwa nae..unamkuta pisi Kali imevaa jezi kwa juu chini ana jinsi au kibukta flan hiv kanyoa afro au low cut wanavutia sana.

Nimekuwa shabiki wa timu za wanawake Simba queen au Yanga princess kila mechi zao naenda kuziangalia Kuna pisi zinanivutia nikizionaga tu.

Matomboy ni wanawake wazuri na wanajua kujari wako real sana

Sina muda hata wa kuwaangalia mara mbili Hawa mademu wa town akisuka Rasta, kavaa kimini au awe na shepu vipi ata akijiremba vipi sinaga time nao.

Nb: Nawakubali life style yao tu Ila sio kuwa nao kimahusiano

Hisia za mtu ziheshimiwe[emoji4]
Nishawahi kudate tomboy sitaki hata bure ni pasua kichwa, hata huyu niliye naye soon tuna breakup this week ana element za utomboy. Kofia za kiume, na campan za wavulana, visurual nk na dont care
 
Kuna jamaa yangu yeye alikua anajua sehemu karibu zote wanazojiuza malaya, ila ukimuuliza wewe maeneo yote hayo unayajua yanakusaidia nini eti anasema yeye anaendaga kuangalia tu wala hawazagamui.

Ndo hiki mleta uzi anakisema hapa, madem ndo huwa na hivyo vitabia vya kusema mi napend kumuangalia tu.
Hili lako inabidi wanaume tukae kikao cha dharula, hatuwezi ruhusu member upokonyoke
 
Endelea kuwapenda kaka,,, Kupenda Si Dhambi,,,""Ndio amri kuu aliyotuachia Mwana Wa Mungu""###Tupendane###
 
Ningekua nafanya nisingekataa ila inashangaza kuona wewe unakataa kitu unachokifanya kwani nani anakujua hapa [emoji2960]
Fala kweli Sina pigo hizo za kiwaki,za kichoko,sikujibu Tena ,unless unataka pipe yangu,uachane na ishu zako za grinding,pm iko wazi
 
Habari zenu wakuu

Nimejikuta tu ghafla nimetokea kuwapenda wanawake wanaovaa nguo za kiume tomboys au nikimuona mwanamke kavaa nguo za kiume navutiwa nae..unamkuta pisi Kali imevaa jezi kwa juu chini ana jinsi au kibukta flan hiv kanyoa afro au low cut wanavutia sana.

Nimekuwa shabiki wa timu za wanawake Simba queen au Yanga princess kila mechi zao naenda kuziangalia Kuna pisi zinanivutia nikizionaga tu.

Matomboy ni wanawake wazuri na wanajua kujari wako real sana

Sina muda hata wa kuwaangalia mara mbili Hawa mademu wa town akisuka Rasta, kavaa kimini au awe na shepu vipi ata akijiremba vipi sinaga time nao.

Nb: Nawakubali life style yao tu Ila sio kuwa nao kimahusiano

Hisia za mtu ziheshimiwe😊
Ni maajabu sikuhizi wanaume wanaliwa na wanawake, eti tomboy anamsaga gasho.. yan tomboy anageuka mume na gasho nageuka mke.
hii miujiza nimekutana nayo kwenye promo za hizi biashara mjini telegrama, hakika wanaume wa kweli ni mali, tulindwe kwa wivu mkubwa, yan from kupeleka moto mpaka kupelekewa moto tena the back door.
 
Habari zenu wakuu

Nimejikuta tu ghafla nimetokea kuwapenda wanawake wanaovaa nguo za kiume tomboys au nikimuona mwanamke kavaa nguo za kiume navutiwa nae..unamkuta pisi Kali imevaa jezi kwa juu chini ana jinsi au kibukta flan hiv kanyoa afro au low cut wanavutia sana.

Nimekuwa shabiki wa timu za wanawake Simba queen au Yanga princess kila mechi zao naenda kuziangalia Kuna pisi zinanivutia nikizionaga tu.

Matomboy ni wanawake wazuri na wanajua kujari wako real sana

Sina muda hata wa kuwaangalia mara mbili Hawa mademu wa town akisuka Rasta, kavaa kimini au awe na shepu vipi ata akijiremba vipi sinaga time nao.

Nb: Nawakubali life style yao tu Ila sio kuwa nao kimahusiano

Hisia za mtu ziheshimiwe😊

Chunga marinda yako, kuna kitu unatafuta ukiendelea hivyo, unaanza kidogo kidogo, baadae utapenda wanaume wenzako, tomboy baadhi ni wasagaji, kataa hizo hisia utakuwa laana kuu, sio riziki tena, astagafirullah, dalili za firauni hizoo..!!
 
ma tomboy wote ni wasagaji, sasa aendelee kuwapenda wamchomeke "mwana sesere wa ngono"
 
Chunga marinda yako, kuna kitu unatafuta ukiendelea hivyo, unaanza kidogo kidogo, baadae utapenda wanaume wenzako, tomboy baadhi ni wasagaji, kataa hizo hisia utakuwa laana kuu, sio riziki tena, astagafirullah, dalili za firauni hizoo..!!
Sorry nipo nje ya mada, mfano sasahivi ndio naona likitamkwa neno Tomboy watu wanakuwa straight kuwa msagaji ila nakumbuka siku za nyuma kidogo jina Tomboy lilikuwa just linatumiaka tu kwa Mwanamke yeyote aliyekuwa na swaga au cutting za kiume Kama dress codes, marafiki nk wengi tulikuwa nao shule na haikumaanisha wanasagana washakaji kibao tu kiwaida kusema na date na Tomboy au namkubali yule Tomboy ila sasahivi naona imekuwa strictly Sana kuwa neno Tomboy ni anajihusisha na usagaji

Nafikiri anachomaanisha mtoa mada ndio hiko na ndicho na hoamini mfano wale wachezaji wakike wa Simba na yanga Kama Fetty Densa namjua huyo zamani tuliwaita Tomboy na hatukumaanisha anasagana
 
Back
Top Bottom