Nimetokea kuwapenda wanawake wanao vaa nguo za kiume(tomboy)

Wakuu baadhi mnenielewa vibaya
Nawakubali the way jinsi walivyo
Dress code zao
life style
sio pisi za kufake life wako real
nasikia kweny mahusiano wanajari pia...
japo sijawahi kudate nao na Sina mpango huo.
na sio kila tomboy ni msagaji wengine ni mavazi tu lakini wako Kama wanawake wa kawaida na wanaliwa vizuri na wengine Hadi Wana watoto.
 
Pita huku
 
Fala kweli Sina pigo hizo za kiwaki,za kichoko,sikujibu Tena ,unless unataka pipe yangu,uachane na ishu zako za grinding,pm iko wazi
Endelea kunyonyeka ni haki yako ya kihisia aibu ya nini sasa [emoji1787]
 
Aliyekwambia rimming ni kwa wanaume pekee Nani?niliona mwanamke anafanyiwa rimming sasa
Aiseee jinsi ulivyo mbobevu ukaona uangalie huku na kule ila naona kabisa ya dume ndo ilikubamba hadi umeikumbuka kwenye uzi huu[emoji1787]
 
Iv wa hivyo wengi wao wanakuwa wasagaji kwani?
Akiwa msagaji anaitwa Stud, ila sio wote wanaojua kuwatofautisha, wengi humuita stud tomboy,
Ila tomboy hawi msagaji ni mavazi na ile michezo ya kiume na hata kutembea
 
Zinaheshimika
 

Kwani hata zamani zile rangi za Rainbow si zilikuwepo, si zilikuwa kawaida tu, ila sasa hv ni rangi ya ushoga, ni signature yao, hivyo time is everything, tomboy siku hz ni majike dume, sio kama zamani, ilikuwa kawaida, dunia imebadilika, hata ww unasemea zamani, we are not living in the past, we are living at present, the world has gone wild, mashonga wanatetewa kila kona na wenye uwezo wa dunia hii, uchafu uchafu mtupu..!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…