DR Mambo Jambo
JF-Expert Member
- May 10, 2012
- 11,622
- 26,005
Sio siku moja Hata masaa tu..Kumbuka Kinachohitajika ili bawasiri iweze kutokea Sio mda japo muda unaweza ukawa chachu ya ongezeko la athari....Shukran mkuu, constipation ilinitokea mara moja tu, baada ya hapo niliendelea kama kawaida.
Je bawaziri inaweza tokea kwa damage ya constipation ya siku moja?
Ila ni kiasi cha pressure (Internal pressure) ambacho Kinaweza kusababisha vein kuvimba ngoja nikuelimishe kidogo....
Kwenye njia ya Haja kubwa kuna tissue Laini sana zinaitwa Anal cushions au Pia hemorrhoidal cushions ambazo kazi yake kubwa ni Kusaidia wewe katika kustahimili au uweze kujizuia na pressure Inayotoka Ndani...
Hizo cushions ziko Aina tatu na zimegawanyika kama saa ya ukutani ambazo Huwa tunaita 3,7 na 11 o'clock position.....
Kwa bahati nzuri hizi Cushions huwa hazina arteries wala veins, ila blood vessels ambazo huitwa sinusoids, connective tissue, na Misuli laini ambayo ndo huifanya kazi hiyo ya kuzuia....Sinusoids ina mfano wa miships ya damu iitwayo hemorrhoidal plexus.ndo husambaza damu sehemu hizo...
Kwakuwa kazi ya cushions ni kustahimili Pressure kutoka ndani na kukufanya wewe usiachie vitu wakati wowote....😀😀
Inachangia asilimia 20 ya anal closure pressure na kulinda Anal sphincter zisipate madhara pale unapokuwa unapata Haja kubwa ...
Sasa Inakuaje Mtu kupata Bawasiri...
Mtu anaweza kuvumilia ongezeko la Msukumo wa ndani au kama nilivyosema mwanzoni "Inter abdominal pressure" , Kwa hemorrhoid cushions Kuongezeka Size yake ili kukupa wewe confortability vitu vya ndani visishuke Ambayo hali hii husaidia Misuli ya Njia ya Haja kubwa kufunga "anal closure"....
Sasa nataka uimmagine kwa situation yako ya Kupata constipation Na kufanya Presuure iongezeke tumboni na Cushion kuongezeka wakati huo Vascular structures zinaslide downwards au kutokana na kupush sana hiyo venous pressure ilikuwa excessively increased...
Kuongezeka kwa internal na external anal sphincter pressure ndo kunachangia kuvimba kwa hizo cushion na kusababisha zi"Protude" kutoka nje nakuonekana nando hicho huitwa Bawasiri au haemorrhoids
CC: haszu