Nimetongozwa na kavulana kauza bucha la nyama

Mkiwa mnawataka madogo akhaa!!hamji kuzungumza hapa ila nyinyi mkihitajiwa ndiyo mnajifanya mnavunjiwa heshima. Sasa dogo katoa wapi ujasiri kama siyo wakina mama wenzako wanamsalandia. Usikute kuna dogo wa rika hilo hilo unammezea mate,

The heart has reasons that reason does not understand.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi vitoto vya siku hizi vimeshindikana kwakweli, havina adabu kabisa.
 
Nakwede rohi mbaya hiyoo..!!
 
Dogo alikuwa anajaribu kama anaweza kung'ata tunda kimasihara kashindwa! Dada usije shangaa atakuwa anakupa maneno kila siku ukienda kununua nyama plus mzizi wa mvuto wa mapenzi alopewa na babu utajikuta umejaa mazima na dogo kanyutua mlima kitonga!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hapo mwenye shida ni wewe, mtu mzima ovyooooo..........

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ww utakua habari zako zimesambaa mtaani kua ni cha wote yaani unaingilika kirahisi.yaani wewe ni cheap yoyote hata watoto wanakuingia kirahisi. Jirekebishe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…