Culture Me
JF-Expert Member
- May 24, 2017
- 10,490
- 21,398
Nyambizi.....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkiwa mnawataka madogo akhaa!!hamji kuzungumza hapa ila nyinyi mkihitajiwa ndiyo mnajifanya mnavunjiwa heshima. Sasa dogo katoa wapi ujasiri kama siyo wakina mama wenzako wanamsalandia. Usikute kuna dogo wa rika hilo hilo unammezea mate,Enyi watoto wadogo, wakiume, wavulana nani amewaloga?
Mmekuwaje mbona hamna hofu ya kuogopa wakinamama wakubwa waliowazidi umri mara 20000?
Mnapata wapi ujasiri huo?
story iko vile:
Jana nilipita kwenye bucha la nyama ambako huwa ninapenda kununulia hapo kwa kuwa wana nyama ya kutoka wilaya ya Ukerewe. Kwa ufupi nyama inayotokana na ng'ombe wa Ukerewe ni nzuri kwa kuwa ng'ombe wa Ukerewe wanalishwa tu maeneo jirani na nyumbani, hawajachoka na pia nyama ya Ukerewe ina ladha nzuri na ni laini. (sio tangazo za biashara mjue)
Baada ya kununua nyama, wakati nafungua mkoba kutoa hela, hako kavula kakawa kananiangalia sana, na mie nikakazia macho. Kakawa kanaonesha ishara ya kuomba namba za simu (yaani kakawa kanaweka mkono wake kwenye sikio kama vile kanapokea simu). Nilikaelewa nikakausha tu. Nikamlipa mwarabu hela yake.
Nilivyotoka hapo kuelekea kwenye usafiri, ghafla nikaona dogo yuko nyuma yangu. Mazungumzo yakaanza:
Dogo: Mama shikamoo.
Mie: Marahaba.
Dodo: huku akiwa anatoa tabasamu kama la panya, samahani mama naweza kupata namba yako ya simu.
Mie: Kwa ajili ya matumizi yepi?
Dogo: Ili niwe nakupigia kukupa taarifa za nyama inapoingia toka Ukerewe.
Mie: Mbona ratiba naijua tu, kwani ni lini niliikuja hapo nikakosa nyama?
Dogo: hahahaha, basi tuyaache hayo ya nyama, nataka tu nipate namba zako tuwe tunachat, kwa ufupi nimependa uwe mtu wangu!
Mie: Mxeeeewuu (nikaondoka zangu nikakaacha kamesimama hapo)
huku akiwa anatoa tabasamu kama la panya
hhahahah, nimekupa like. hahahahah
simpi. ni mtoto dogo sana.
Nakwede rohi mbaya hiyoo..!!Enyi watoto wadogo, wakiume, wavulana nani amewaloga?
Mmekuwaje mbona hamna hofu ya kuogopa wakinamama wakubwa waliowazidi umri mara 20000?
Mnapata wapi ujasiri huo?
story iko vile:
Jana nilipita kwenye bucha la nyama ambako huwa ninapenda kununulia hapo kwa kuwa wana nyama ya kutoka wilaya ya Ukerewe. Kwa ufupi nyama inayotokana na ng'ombe wa Ukerewe ni nzuri kwa kuwa ng'ombe wa Ukerewe wanalishwa tu maeneo jirani na nyumbani, hawajachoka na pia nyama ya Ukerewe ina ladha nzuri na ni laini. (sio tangazo za biashara mjue)
Baada ya kununua nyama, wakati nafungua mkoba kutoa hela, hako kavula kakawa kananiangalia sana, na mie nikakazia macho. Kakawa kanaonesha ishara ya kuomba namba za simu (yaani kakawa kanaweka mkono wake kwenye sikio kama vile kanapokea simu). Nilikaelewa nikakausha tu. Nikamlipa mwarabu hela yake.
Nilivyotoka hapo kuelekea kwenye usafiri, ghafla nikaona dogo yuko nyuma yangu. Mazungumzo yakaanza:
Dogo: Mama shikamoo.
Mie: Marahaba.
Dodo: huku akiwa anatoa tabasamu kama la panya, samahani mama naweza kupata namba yako ya simu.
Mie: Kwa ajili ya matumizi yepi?
Dogo: Ili niwe nakupigia kukupa taarifa za nyama inapoingia toka Ukerewe.
Mie: Mbona ratiba naijua tu, kwani ni lini niliikuja hapo nikakosa nyama?
Dogo: hahahaha, basi tuyaache hayo ya nyama, nataka tu nipate namba zako tuwe tunachat, kwa ufupi nimependa uwe mtu wangu!
Mie: Mxeeeewuu (nikaondoka zangu nikakaacha kamesimama hapo)
Dogo alikuwa anajaribu kama anaweza kung'ata tunda kimasihara kashindwa! Dada usije shangaa atakuwa anakupa maneno kila siku ukienda kununua nyama plus mzizi wa mvuto wa mapenzi alopewa na babu utajikuta umejaa mazima na dogo kanyutua mlima kitonga!!!Enyi watoto wadogo, wakiume, wavulana nani amewaloga?
Mmekuwaje mbona hamna hofu ya kuogopa wakinamama wakubwa waliowazidi umri mara 20000?
Mnapata wapi ujasiri huo?
story iko vile:
Jana nilipita kwenye bucha la nyama ambako huwa ninapenda kununulia hapo kwa kuwa wana nyama ya kutoka wilaya ya Ukerewe. Kwa ufupi nyama inayotokana na ng'ombe wa Ukerewe ni nzuri kwa kuwa ng'ombe wa Ukerewe wanalishwa tu maeneo jirani na nyumbani, hawajachoka na pia nyama ya Ukerewe ina ladha nzuri na ni laini. (sio tangazo za biashara mjue)
Baada ya kununua nyama, wakati nafungua mkoba kutoa hela, hako kavula kakawa kananiangalia sana, na mie nikakazia macho. Kakawa kanaonesha ishara ya kuomba namba za simu (yaani kakawa kanaweka mkono wake kwenye sikio kama vile kanapokea simu). Nilikaelewa nikakausha tu. Nikamlipa mwarabu hela yake.
Nilivyotoka hapo kuelekea kwenye usafiri, ghafla nikaona dogo yuko nyuma yangu. Mazungumzo yakaanza:
Dogo: Mama shikamoo.
Mie: Marahaba.
Dodo: huku akiwa anatoa tabasamu kama la panya, samahani mama naweza kupata namba yako ya simu.
Mie: Kwa ajili ya matumizi yepi?
Dogo: Ili niwe nakupigia kukupa taarifa za nyama inapoingia toka Ukerewe.
Mie: Mbona ratiba naijua tu, kwani ni lini niliikuja hapo nikakosa nyama?
Dogo: hahahaha, basi tuyaache hayo ya nyama, nataka tu nipate namba zako tuwe tunachat, kwa ufupi nimependa uwe mtu wangu!
Mie: Mxeeeewuu (nikaondoka zangu nikakaacha kamesimama hapo)
hapo mwenye shida ni wewe, mtu mzima ovyooooo..........Enyi watoto wadogo, wakiume, wavulana nani amewaloga?

Ww utakua habari zako zimesambaa mtaani kua ni cha wote yaani unaingilika kirahisi.yaani wewe ni cheap yoyote hata watoto wanakuingia kirahisi. JirekebisheEnyi watoto wadogo, wakiume, wavulana nani amewaloga?
Mmekuwaje mbona hamna hofu ya kuogopa wakinamama wakubwa waliowazidi umri mara 20000?
Mnapata wapi ujasiri huo?
story iko vile:
Jana nilipita kwenye bucha la nyama ambako huwa ninapenda kununulia hapo kwa kuwa wana nyama ya kutoka wilaya ya Ukerewe. Kwa ufupi nyama inayotokana na ng'ombe wa Ukerewe ni nzuri kwa kuwa ng'ombe wa Ukerewe wanalishwa tu maeneo jirani na nyumbani, hawajachoka na pia nyama ya Ukerewe ina ladha nzuri na ni laini. (sio tangazo za biashara mjue)
Baada ya kununua nyama, wakati nafungua mkoba kutoa hela, hako kavula kakawa kananiangalia sana, na mie nikakazia macho. Kakawa kanaonesha ishara ya kuomba namba za simu (yaani kakawa kanaweka mkono wake kwenye sikio kama vile kanapokea simu). Nilikaelewa nikakausha tu. Nikamlipa mwarabu hela yake.
Nilivyotoka hapo kuelekea kwenye usafiri, ghafla nikaona dogo yuko nyuma yangu. Mazungumzo yakaanza:
Dogo: Mama shikamoo.
Mie: Marahaba.
Dodo: huku akiwa anatoa tabasamu kama la panya, samahani mama naweza kupata namba yako ya simu.
Mie: Kwa ajili ya matumizi yepi?
Dogo: Ili niwe nakupigia kukupa taarifa za nyama inapoingia toka Ukerewe.
Mie: Mbona ratiba naijua tu, kwani ni lini niliikuja hapo nikakosa nyama?
Dogo: hahahaha, basi tuyaache hayo ya nyama, nataka tu nipate namba zako tuwe tunachat, kwa ufupi nimependa uwe mtu wangu!
Mie: Mxeeeewuu (nikaondoka zangu nikakaacha kamesimama hapo)
Mbona kama sikuona hiyo assist? Ngoja nifanyie kazi.Wee bhana hutabiriki. Nshakupa kajukuu kangu Shunie upambane nako hukunipa mrejesho
Watoto wa siku hizi maadili zeromarahaba mwanangu