hahahaha, tucheke tu ila vijana wanakoelekea sio!
Naomba kutoa maoni yangu,
Sababu ilikufanya umsonye na kumnyima namba ni sio uvulana wake au udogo wake,tatizo ni hadhi yake,ya kuuza bucha.
Kitendo cha mwanamke kumkataa mwanaume ni kitendo cha kutoridhika nae,kwa sababu wapo wanaume wengi tu watu wazima au wakubwa kwa umri unaotaka wewe,lakini wanakataliwa tu, na wewe umeshawakataa wengi tu naamini.
Wala suala sio kupenda kitonga au kulelewa kama wengi wanavyodhani ,ila ni matamanio ya kawaida ya mwanaume kwa mwanamke.
Sasa najiuliza vipi kavulana hako kangekua sio kauza bucha ,bali ni katoto ka mkubwa mmoja hapa nchini au tajiri mkubwa tu,mfano angekua mtoto wa JK,au Bahresa,au tajiri fulani tu ,ungekanyima namba yako?ungeandika thread hapa?
Unajua kua Diamond kwa hadhi yake anaweza kula mama mtu mzima au hata bibi akitaka tena bila upinzani?
Unajua mambo ya watoto kuwatongoza wamama wazima hayajaanza leo kama unavyodhani,yalianza toka zama za wahenga,isipokua siku hizi vyombo vya kuhabarishana bila kujulikana nivingi sana ndio maana umeweka humu.
Tangu zamani na hata saa wapo wamama wazima wengi tu wanavipa penzi vitoto,kwa siri ama kwa uwazi,shinda ni kiu ya kufanya mapenzi,wapo wamama hapa Dar huwatafuta vivulana kwa makusudi licha ya kuwa na waume,sababu ni kuepuka kuwapa papauchi watu wazima wenzao kwa sababu wengi ni waume wa watu.
Unastaajabu kumpa namba dogo muuza bucha ili asikutongoze,hushangai wanawake kutumia vitu vyenye umbo la dushe kujitimizia mahitaji yao ya hamu za ngono kama ndizi,matango ,dildo na vitu vingine?
Namaliza kusema kilichomuangusha dogo ni hadhi,kazi yake ya kuuza bucha.
Ni mawazo yangu tu.