Nimetongozwa na kavulana kauza bucha la nyama

Nimetongozwa na kavulana kauza bucha la nyama

Ungecheza na saikolojia yake tu huyo kijana, ili uweze kujua kwanini kathubutu kufanya hivyo kwako,inawezekana mavazi unayovaa wewe haya akisi umama ulionao ndo maana mpaka kijana kaona upo katika kundi la kufuatwa. Kabla haujamuangushia lawama huyu kijana, nafikili ni vyema pia ukajitathimini na wewe kidogo. Hongera sana kwa kuonekana unamvuto na vijana wadogo hiyo ni ishara njema kwako.
 
WE MAMA INAONEKANA UPO MTAMU KINOMA LABDA DOGO CJUI KAKOSEA WAPI NAHISI UNANUKIA UTAMU KILA KONA YA HILO BODY ASALALE NGOJA NAMI NIKUPE 'SHKAMOO MAMA'
 
NAKWEDE surely their is something special about you. Haiwezekani Dogo mpaka akakuvunjia ukimya

Hili limenifanya nizidi kuwa interested naweye, Jiandae kunikuta kila utakapotia mguu humu ndani ya JF
 
Vijana wanapenda Majimama, sijuhi wanatafuta nini maana hapa mjini Kuna vitoto vibichi vitamu hatari. " wewe jimama, Ujana wako ule nanani malazi yako uniletee Mimi" [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kunikataa umenikataa sawa.

Na bado umekuja kunisimanga huku JF.

Umri ni namba tu. Madonna ana miaka zaidi ya 60 na anatoka na kijana wa miaka 25. Gari mbovu huvutwa na zima ujue NAKWEDE
 
Mbona waonekana kama wewe Malaya flan hv

Kama sio basi waonekana wakujilahishaa hv NA UPENDA DOGODOGO

Sent using Jamii Forums mobile app
Hapana ndugu,umekosea Sana kumwita huyu Mama au dada kwa majina yenye kuudhi,kua yeye ni Malaya au anajirahisisha,sio kweli,dada huyu ni muaminifu na mstaarabu Sana Tena anejiheshimu Sana,angekua Malaya na anajirahisisha asingeleta Uzi au malalmiko yake hapa,isipokua yeye ameona ni Jambo la fedheha Sana kutongozwa na kivulana amekereka sasa mtu Kama huyo utamuitaje kwa majina hayo?Naomba tutumie lugha za kistaarabu na tuheshimu hisia za watu ktk mijadala.
Huyu dada ni mstaarabu ndio maana hajakujibu vibaya na ame like masimango yako.
Tupendane hii ni MMU.
 
Back
Top Bottom