Nimetongozwa na kavulana kauza bucha la nyama

Kiswahili mtu ukishamuamkia Shikamoo kumtongoza huwezi (hutakiwi) asilani.

Ndiyo maana wazee Waswahili wakiamkiwa Shikamoo na binti ambaye wanampigia mahesabu, jibu lao moja ni "Unataka kuninyima nini?".

Sent using Jamii Forums mobile app
hahahahah, sasa mbona mie ameniona kabisa ni sawa na mama yake lakini bado kakajitutumua!
 
Na mimi naomba namba
Enyi watoto wadogo, wakiume, wavulana nani amewaloga?

Mmekuwaje mbona hamna hofu ya kuogopa wakinamama wakubwa waliowazidi umri mara 20000?

Mnapata wapi ujasiri huo?

story iko vile:
Jana nilipita kwenye bucha la nyama ambako huwa ninapenda kununulia hapo kwa kuwa wana nyama ya kutoka wilaya ya Ukerewe. Kwa ufupi nyama inayotokana na ng'ombe wa Ukerewe ni nzuri kwa kuwa ng'ombe wa Ukerewe wanalishwa tu maeneo jirani na nyumbani, hawajachoka na pia nyama ya Ukerewe ina ladha nzuri na ni laini. (sio tangazo za biashara mjue)

Baada ya kununua nyama, wakati nafungua mkoba kutoa hela, hako kavula kakawa kananiangalia sana, na mie nikakazia macho. Kakawa kanaonesha ishara ya kuomba namba za simu (yaani kakawa kanaweka mkono wake kwenye sikio kama vile kanapokea simu). Nilikaelewa nikakausha tu. Nikamlipa mwarabu hela yake.

Nilivyotoka hapo kuelekea kwenye usafiri, ghafla nikaona dogo yuko nyuma yangu. Mazungumzo yakaanza:

Dogo: Mama shikamoo.

Mie: Marahaba.

Dodo: huku akiwa anatoa tabasamu kama la panya, samahani mama naweza kupata namba yako ya simu.

Mie: Kwa ajili ya matumizi yepi?

Dogo: Ili niwe nakupigia kukupa taarifa za nyama inapoingia toka Ukerewe.

Mie: Mbona ratiba naijua tu, kwani ni lini niliikuja hapo nikakosa nyama?

Dogo: hahahaha, basi tuyaache hayo ya nyama, nataka tu nipate namba zako tuwe tunachat, kwa ufupi nimependa uwe mtu wangu!

Mie: Mxeeeewuu (nikaondoka zangu nikakaacha kamesimama hapo)

Kape uone kama papuchi haitaprocessiwa...!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Utakua na shida mahali.Sio rahis mtoto mdogo namna hiyo akutongoze kirahis rahis .Halaf ulishamgundua tola mwanzo then why umpe attention ya kumsikiliza?ai ashasikia kuwa unakitembeza sana so ikabid ajaribu bahat yake?

KWENYE MZOGA NDIPO WANAPOTUA INZI
 
Kwani haingii? [emoji2][emoji2] Alisikika mvuta bange mmoja

Back
Top Bottom